Waziri Mwigulu: Sijasema fedha za AZAKI ipewe Serikali


Ni takribani shilingi trilioni 3 sawa na usd 1.3billion
 
Alisema "Tutazisimamia vizuri", pesa ya AZAKI unaahidi vipi kuisimamia?

Kama AZAKI zitakubali kutoa ushirikiano, kwanini serikali isiahidi kusimamia vizuri miradi ikamilike kwa viwango? Sote si tunajenga nyumba moja?

Sioni hata ugumu uko wapi. Labda tunatofautiana uelewa.
 
Wewe ndo mbuzi katolic kweli wapewe ziingizwe kwenye akaunt za serikali !! Inaonesha huelewi AZaki ninn na serikali kujenga madarasa nawao wanunue furniture huolewi n nn
 

Yeah ufafanuzi wake umeeleweka vyema.
 
Simtetei, nimeleta taarifa niliyoona ina tija. Ukweli una haki ya kuelezwa pia.
Hivi bado ameshikilia msimamo wake kwamba tuhamie Burundi?

Sijajua ni kipi mtu akipewa Wizara ya fedha humpata.

Msuya,Mramba,Mwigulu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Yani hamjaridhika na pesa za Tozo, Kodi, mikopo na misaada mnataka mvamie na kula pesa za NGOs
 
Maelezo ya kipuuzi. Azaki za kiraia zina vipaumbele vyake, na siyo laza viwe vipabele vya Serikali.

Mwigulu anataka NGOs ziwe idara za Serikali?

Ameshauri, hajalazimisha. Isitoshe AZAKI pia ni wadau wa maendeleo.
 
Asikubali kwani yeye ndio ameziomba hizo hela?

Halafu kingine tozo mnazokusanya kusudi lake si ilikuwa ku boost hio miradi ya serikali mbona mnataka na hela zingine zifanye hayo hayo yaliokusudiwa na tozo?

Ama tozo mmezipa allocation ingine tofuati na makubaliano ya mwanzo? Kwanini hamuwi wawazi juu ya makusanyo?
 
Huo ndio uongozi wa watu. Unatoa ufafanuzi ulionyoaka kama huu kwa wakati. Mh Waziri simama uhesabiwe katika kuwatumikia Watanzania wa kizazi hiki. Muda si mwingi ujao mbereko hazitakuwa na nafasi Tanzania. Fedha za wahisani zinatoka kutokana na propasal za wadau wao na mhisani mwenyewe kuona wapi kunahitaji kusaidiwa. Muombe AZAKI nao waandike propasal zinazoshabihiana na hilo wazo la serikali.
 
Kama AZAKI zitakubali kutoa ushirikiano, kwanini serikali isiahidi kusimamia vizuri miradi ikamilike kwa viwango? Sote si tunajenga nyumba moja?

Sioni hata ugumu uko wapi. Labda tunatofautiana uelewa.

Tayari sheria ipo inayotaka kila AZAKI ipeleke report ya shughuli zake. Tatizo lipo wapi?
 

Mbona sheria zipo tayari. Naona mwigulu ana njaa na pesa za AZAKI.
 
Hapana, yuko sahihi. Tazama hata video akiwa anazungumza kwenye kikao, utaona akishauri AZAKI ziende sanjari na Dira ya Taifa, Mipango na Vipaumbele vya Serikali ili kuwe na ushirikiano katika kuleta maendeleo. Hakusema hizo fedha ipewe Serikali.

Yaani pesa za Azak zifuate vipaombele vya serikali?

Hiyo Azak waliomba hizo fedha ili kusaidia vipaombele vya serikali?

Kwanini serikali isiombe fedha kwa vipaombele vyake, na Azak wakaendelea na vipaombele vyao?
 
Yaani pesa za Azak zifuate vipaombele vya serikali? Hiyo Azak waliomba hizo fedha ili kusaidia vipaombele vya serikali? Kwanini serikali isiombe fedha kwa vipaombele vyake, na Azak wakaendelea na vipaombele vyao?

Nadhani alitoa ushauri tu, ukizingatia siku hizi kuna 'harmonization' inajengeka kati ya Serikali na Wadau wa Maendeleo.
 
Nadhani alitoa ushauri tu, ukizingatia siku hizi kuna 'harmonization' inajengeka kati ya Serikali na Wadau wa Maendeleo.

Atoe ushauri jinsi ya kutumia tozo, fedha za Azak aachane nazo maana hazimuhusu.
 
Atoe ushauri jinsi ya kutumia tozo, fedha za Azak aachane nazo maana hazimuhusu.

Tayari una mtazamo wako na hutaki kusikia tofauti. Nauheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…