YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hapo sasaKwanini awapangie? au walisaidiana kuziomba huko ubeberuni?
Mtu anahangaika kivyake kuzirafuta Mwigulu anazitaka!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasaKwanini awapangie? au walisaidiana kuziomba huko ubeberuni?
Ukiomba hizo pesa wafadhili wenyewe husimamia matumizi yake haihitaji third party Serikali na AZAKI hupewa kutokana ns proposal zao walizokubaliana na wafadhili .Huwezi inuka tu Serikali ukataka proposal zile zibadilishwe ziendane na matakwa yako sio waliyokubaliana na AZAKI husika !Kama AZAKI zitakubali kutoa ushirikiano, kwanini serikali isiahidi kusimamia vizuri miradi ikamilike kwa viwango? Sote si tunajenga nyumba moja?
Sioni hata ugumu uko wapi. Labda tunatofautiana uelewa.
Serikali hainunui pedi na kugawia wanafunzi bure wa kike wasio na uwezo mashuleni bure Haina bajeti hiyo .Sasa wakiomba wakapewa wewe shida yako nini? Unataka zikanunue made ya hospitali ni hilo Tatizo la pedi libaki hapo hapo?Na wewe Waziri usikubali hizo fedha wapewe hao Azaki, watazila hakuna kitu cha maana zitafanya.
Hizo pesa ziwe kwenye account maalumu ya serikali kuzimonitor.
Mwendazake hakuwa mjinga kuzuia hizo pesa kuja kinyemela.
Azaki waainishe miradi ya kutumia hizo pesa sio tuu kuja kununua condom na ped eti ndio matumizi ya maendeleo.
Mwisho hao Azaki wawe wanapanga mipango yao Kwa kuzingatia dira ya maendeleo ya Nchi sio kila mtu anafanya lwake.
Waziri mbovu sn huyu kuwahi kutokeaAmeanza ujanja ujanja
Point snUkiomba hizo pesa wafadhili wenyewe husimamia matumizi yake hahitaji third party Serikali na AZAKI hupewa kutokana ns proposal zao walixokubaliana na wafadhili .Huwezi I uka tu Serikali ukataka proposal zile zinadilishwe ziendane na matakwa yako sio waliyokubaliana na AZAKI husika !
Mwingulu na genge lake wanataka walipane poshoSerikali hainunui pedi na kugawia wanafunzi bure wa kike wasio na uwezo mashuleni bure Haina bajeti hiyo .Sasa wakiomba wakapewa wewe shida yako nini? Unataka zikanunue made ya hospitali ni hilo Tatizo la pedi libaki hapo hapo?
Eti wazingatie dira ya maendeleo kwenye hiyo dira kuna mahali Serikali inasema itanunua pedi na kugawia watoto wa kike wasio na uwezo wa kununua bure?
Pesa ukiomba msaada inaingia kwenye akaunti ya muombaji si vinginevyo
Zinamuuma maana wao bajeti imejaa kulipana posho tupuMaelezo ya kipuuzi. Azaki za kiraia zina vipaumbele vyake, na siyo laza viwe vipabele vya Serikali.
Mwigulu anataka NGOs ziwe idara za Serikali?
Mbaya zaidi hizo ASASI zimeajiri watanzania wenzetuWewe unadhani wanaotoa fedha huwa wanamwaga tu bila kuelezwa hiyo pesa inaenda kufanya nini?
Hiyo ni fedha iliyotengwa, siyo lazima itolewe yote kama vigezo vya mtoaji havijafikika.
Acha kukurupuka kama mkojo,umesoma content yangu yote? Shughuli zao lazima ziratibiwe na Serikali na pesa hizo lazima ziwe monitored kwa sababu zina impacts kwenye uchumi.Serikali hainunui pedi na kugawia wanafunzi bure wa kike wasio na uwezo mashuleni bure Haina bajeti hiyo .Sasa wakiomba wakapewa wewe shida yako nini? Unataka zikanunue made ya hospitali ni hilo Tatizo la pedi libaki hapo hapo?
Eti wazingatie dira ya maendeleo kwenye hiyo dira kuna mahali Serikali inasema itanunua pedi na kugawia watoto wa kike wasio na uwezo wa kununua bure?
Pesa ukiomba msaada inaingia kwenye akaunti ya muombaji si vinginevyo
Serikali iratibu pesa za AZAKI unaota weweAcha kukurupuka kama mkojo,umesoma content yangu yote? Shughuli zao lazima ziratibiwe na Serikali na pesa hizo lazima ziwe monitored kwa sababu zina impacts kwenye uchumi.
Unapayuka hapa mbona mumeo Mwendazake alizuia pesa kwa nini hukumuuliza aziachie?
Kaenda beyond his judistrictionanakataa nini huyu madelu, sasa sialisema nothing goes on (NGO) wasipewe hela na badala yake wapewe wao kama serikali? anakataa nini sasa.
Huyo ni mjanja mjanja kama wewe.Kaenda beyond his judistriction
Haelewi kwa nini zinaitwa Non Governmental organisation anataka kuzigeuza kuwa Governmental organisation!!!! Hilo Neno NON sijui kama analijua linamaanisha nini kwa kingereza
Hivi huu utumbo unaoandika unapitiwa na bibi yako Samia?Acha kukurupuka kama mkojo,umesoma content yangu yote? Shughuli zao lazima ziratibiwe na Serikali na pesa hizo lazima ziwe monitored kwa sababu zina impacts kwenye uchumi.
Unapayuka hapa mbona mumeo Mwendazake alizuia pesa kwa nini hukumuuliza aziachie?
Hiyo dira IPO??Tatizo AZAKI huwa hazishirikishwi kwenye upangaji wa Dira za taifa
Wanakaa maofisa wa Serikali peke yao kutengeneza dira na mpango ya maendeleo
Pili AZAKI aziache wafadhili huwa hawapendi AZAKI kuingiliwa na Serikali ni kama Serikali ikiingilia mambo ya mashirikisho ya vyama vya michezo tumeona Kenya ikipigwa marufuku kushiriki michuano ya kimataifa baada ya Serikali ya Kenya kuingilia mambo ya uongozi wa chama cha mpira kenya
TATU ,AZAKI hupeleka write ups zao kwa wafadhili ikiwemo USAID kwenye maeneo ambayo wanaona kuna ombwe ambalo Serikali huwa Haija li cover.
SI unamkumbuka alivyotetea MAiTI za VIROBA mto ruvu kuwa wale ni wahamiaji haramu kutoka Ethiopia na SomaliaAmeanza ujanja ujanja
hatari sana kana kwamba hata huyo mhamiaji hana haki ya kuishi, yule jamaa ni zero kabisaaa kwa tone ya jiweSI unamkumbuka alivyotetea MAiTI za VIROBA mto ruvu kuwa wale ni wahamiaji haramu kutoka Ethiopia na Somalia