Waziri Nassor Mazrui: Hospitali zote za Zanzibar kupewa Sekta Binafsi waziendeshe

Sema kama una pesa huu ndo muda wa kula sasa, upewe hospital moja ya rufaa udeal nayo upige pesa
Mtu binafsi anatafuta faida so lazima apige kazi kweli kweli hakuna uzembe. So as much as sikubaliani nayo ila ukweli usemwe private sector wako serious kwenye kazi kuliko serikalini.

Angalia tu ATCL linganisha na Precision, au TTCL na Vodacom, au TRA na Deloitte, ama Azania na Marian!!

Let's be serious serikali inabidi ibadili mfumo wa jinsi inaendesha taasisi ikiwezekana mishahara isitoke hazina Bali kwenye taasisi husika Ili Kila mtu alipwe kutokana na anachozalisha not otherwise
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
naisi Luna mkopo ambao utakuwa una masharti haya ya kubinafisisha taasisi za serikali. Ebu tutafute nyaraka
 
Mwanza na kilimanjaro hamna hospitali za ummah, acha kupotosha huo ni wizi wa kanisa dhidi ya kodi za wananchi, mbona hizo hospitali zinatoza pesa tena
 
Ni uvivu tu wakufikiri.

Mm naona kwa serikali kutoa ruzuku kwa huduma zinazotolewa private n jambo jema hii inawezesha wananchi kumudu gharama nzuri katika shirika binafsi.
 
Utopolo huu wa kupika ili tusijadili DPW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…