zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mtu binafsi anatafuta faida so lazima apige kazi kweli kweli hakuna uzembe. So as much as sikubaliani nayo ila ukweli usemwe private sector wako serious kwenye kazi kuliko serikalini.Sema kama una pesa huu ndo muda wa kula sasa, upewe hospital moja ya rufaa udeal nayo upige pesa
Angalia tu ATCL linganisha na Precision, au TTCL na Vodacom, au TRA na Deloitte, ama Azania na Marian!!
Let's be serious serikali inabidi ibadili mfumo wa jinsi inaendesha taasisi ikiwezekana mishahara isitoke hazina Bali kwenye taasisi husika Ili Kila mtu alipwe kutokana na anachozalisha not otherwise