Waziri Nassor Mazrui: Hospitali zote za Zanzibar kupewa Sekta Binafsi waziendeshe

Waziri Nassor Mazrui: Hospitali zote za Zanzibar kupewa Sekta Binafsi waziendeshe

Means serikali na viongozi wote wameshindwa kuwathibiti wakuu wa hizo taasisi! Viwango vyao vya kusimamia katiba na sheria za nchi vime expire! Hakuna haja ya kuwa na tume za maadili, usalama wa taifa, polisi , mahakama. Jela au takukuru! Hivyo vyote vinawahusu tu wananchi wa kawaida ambao sio viongozi! Mabosi wa bandar , atcl.posta, benk kuu etc. Wakiiba au kufilsi taasis zetu wanatafutiwa mbadala ambaye ni mwekezaji atakaeziba mikondo ya wizi ,uzembe na ubunifu! Ccm quemermeryo zenu
 
Duuh sasa serikali inaweza kuendesha nini?
Marekani hospitali za serikali ni za vyombo vya ulinzi na usalama na the rest ni za watu binafsi kwa hili tuwapongeze zanzibar wamejipunguzia mzigo wa uendeshaji na pia wana uhakika wa kodi kutoka hizo kampuni au watu binafsi watakaoendesha maana unajiuliza vituo vya umma vinamapqto ya bima na ya cash halafu wafanyakazi wanalipwa mishahara na serikali wakati vya binafsi vinamapato kama hayo vinanunua kila kitu kulipa mishahara kukodi majengo na faida pia na kuweza kujenga majengo yake wakati hivi vya umma dawa havina vitendea kazi havina majengo mabovu kweli tatizo management ya hivi vituo au hospitali
Hongera sana Zanzibar.
 
Means serikali na viongozi wote wameshindwa kuwathibiti wakuu wa hizo taasisi! Viwango vyao vya kusimamia katiba na sheria za nchi vime expire! Hakuna haja ya kuwa na tume za maadili, usalama wa taifa, polisi , mahakama. Jela au takukuru! Hivyo vyote vinawahusu tu wananchi wa kawaida ambao sio viongozi! Mabosi wa bandar , atcl.posta, benk kuu etc. Wakiiba au kufilsi taasis zetu wanatafutiwa mbadala ambaye ni mwekezaji atakaeziba mikondo ya wizi ,uzembe na ubunifu! Ccm quemermeryo zenu
Tunataka ubepari wenye misingi ya kitanzania ( capitalism in Tanzanian context) ili tusonge mbele ile misingi ya zamani haiendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa.
 
Inasikitisha sana
 
Tunataka ubepari wenye misingi ya kitanzania ( capitalism in Tanzanian context) ili tusonge mbele ile misingi ya zamani haiendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa.
Ubepari wa ktz upoje? Wa kutoa bandari au mali za umma bure? Wawekezaji kuwahonga wabunge wetu ili wakapitishe mambo yao? Haya mambo ya viongozi wetu ukiyafuatilia kwa karibu! Unaweza kumkufuru Mungu! Ukaomba heri ungezaliwa kunguni au chawa huko afghanistan Ukanyonye mataliban damu kuliko kujinasibu eti mi mtanzania! Aibu kiwango cha blue rays
 
Ubepari wa ktz upoje? Wa kutoa bandari au mali za umma bure? Wawekezaji kuwahonga wabunge wetu ili wakapitishe mambo yao? Haya mambo ya viongozi wetu ukiyafuatilia kwa karibu! Unaweza kumkufuru Mungu! Ukaomba heri ungezaliwa kunguni au chawa huko afghanistan Ukanyonye mataliban damu kuliko kujinasibu eti mi mtanzania! Aibu kiwango cha blue ray.
capitalism within Tanzanian context.
 
Akiongea na Wandishi wa habari Waziri wa Afya Nassor Mazirui (ACT wazalendo) amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ipo kwenye mchakato wa kubinafsisha Hospitali zote za Zanzibar ile ziweze kuendeshwa na watu binafsi kuleta tija.

Ikumbukwe tayari mpango huu umeshaanza kutekelezwa hasa katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, ambapo huduma zote za Maabara na Vipimo vya Mionzi na Ultrasound tayari zinasimamiwa na makampuni binafsi.

Taarifa zisizo rasmi zinaonesha Lancent Labartories Ltd ndio wanaosimamia mpango huo kwa sasa. Tangu Dr. Ali Hussein Mwinyi aingie madarakani amefanya mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali kisiwani humo.

Katika Sekta ya Afya amefanikiwa kujenga hospitali kubwa za rufaa za mikoa za kisasa na kuajiri idadi kubwa ya madaktari na watoa huduma wa idara mbalimbali. Idadi hiyo inakadiriwa kuwa kiwango kikubwa kuliko awamu zilizopita.

Hata hivyo Dr. Hussein Mwinyi anapongezwa kwa usimamizi mzuri wa rasilimali za umma na hivyo kuungwa mkono na Wananchi wengi.

Safi sana Bara tuige itakomesha wizi na uzembe Mwingine
 
Sio kweli, hizo hospitali za kanisa zinatoa msaada maeneo hata yasiyo na hospitali za umma kwa bei nafuu sana sababu ya hiyo ruzuku ya serikali. Kingine zinatibu hata wasio wakristo mfano kama kule Mafia hospitali ya kanisa inatibu eneo ambalo ni 99% Muslim Sasa unategemea wakiziendesha kama private hospital, hao wananchi matibabu watayamudu?

Afya na udini wapi na wapi
Saizi maeneo yote yamefikiwa na hospital za Umma , Serikali ikomeshe kutumia Kodi zetu hovyo
 
Back
Top Bottom