Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Ni sawa lakin si bandari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poti huwezi kuiona mpaka uanze kufuatilia mjadala tangu mwanzo lkn kwa kuwa umedandia mjadala kwa mbele huwezi elewa. Hunira bhurije.😅😅😅😅Sasa hapo una hoja gani?
Marekani hospitali za serikali ni za vyombo vya ulinzi na usalama na the rest ni za watu binafsi kwa hili tuwapongeze zanzibar wamejipunguzia mzigo wa uendeshaji na pia wana uhakika wa kodi kutoka hizo kampuni au watu binafsi watakaoendesha maana unajiuliza vituo vya umma vinamapqto ya bima na ya cash halafu wafanyakazi wanalipwa mishahara na serikali wakati vya binafsi vinamapato kama hayo vinanunua kila kitu kulipa mishahara kukodi majengo na faida pia na kuweza kujenga majengo yake wakati hivi vya umma dawa havina vitendea kazi havina majengo mabovu kweli tatizo management ya hivi vituo au hospitaliDuuh sasa serikali inaweza kuendesha nini?
Tunataka ubepari wenye misingi ya kitanzania ( capitalism in Tanzanian context) ili tusonge mbele ile misingi ya zamani haiendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa.Means serikali na viongozi wote wameshindwa kuwathibiti wakuu wa hizo taasisi! Viwango vyao vya kusimamia katiba na sheria za nchi vime expire! Hakuna haja ya kuwa na tume za maadili, usalama wa taifa, polisi , mahakama. Jela au takukuru! Hivyo vyote vinawahusu tu wananchi wa kawaida ambao sio viongozi! Mabosi wa bandar , atcl.posta, benk kuu etc. Wakiiba au kufilsi taasis zetu wanatafutiwa mbadala ambaye ni mwekezaji atakaeziba mikondo ya wizi ,uzembe na ubunifu! Ccm quemermeryo zenu
Inasikitisha sanaMeans serikali na viongozi wote wameshindwa kuwathibiti wakuu wa hizo taasisi! Viwango vyao vya kusimamia katiba na sheria za nchi vime expire! Hakuna haja ya kuwa na tume za maadili, usalama wa taifa, polisi , mahakama. Jela au takukuru! Hivyo vyote vinawahusu tu wananchi wa kawaida ambao sio viongozi! Mabosi wa bandar , atcl.posta, benk kuu etc. Wakiiba au kufilsi taasis zetu wanatafutiwa mbadala ambaye ni mwekezaji atakaeziba mikondo ya wizi ,uzembe na ubunifu! Ccm quemermeryo zenu
Hili unamsema weweTunakoelekea Misikiti na Makanisa yatabinafsishwa
Ubepari wa ktz upoje? Wa kutoa bandari au mali za umma bure? Wawekezaji kuwahonga wabunge wetu ili wakapitishe mambo yao? Haya mambo ya viongozi wetu ukiyafuatilia kwa karibu! Unaweza kumkufuru Mungu! Ukaomba heri ungezaliwa kunguni au chawa huko afghanistan Ukanyonye mataliban damu kuliko kujinasibu eti mi mtanzania! Aibu kiwango cha blue raysTunataka ubepari wenye misingi ya kitanzania ( capitalism in Tanzanian context) ili tusonge mbele ile misingi ya zamani haiendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa.
Porojo hiziTunataka ubepari wenye misingi ya kitanzania ( capitalism in Tanzanian context) ili tusonge mbele ile misingi ya zamani haiendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa.
Hiyo DP world inaonyesha imekuchanganyeni kweli kweliSio kwamba hao wanzanzibar wanajaribu ku justfy! kwamba hata wao wanabinasfisha sector sensitive! Ili tusilete mdomo wa bandari za tanganyika
Mpumbavu huyo ubongo umejaa kinyesi achana nae mkuuHili unamsema wewe
Sema za madhehebu ya dini, ni vema kujua mambo kwa upanaBora zazibar huku serikali analipa kila mwaka zaid ya 40bn shilling hasipitali za kanisa wakati hizo hela zinatosha kijenga hospiatli za umma kibaya zaidi huo mkataba hauna kikomo.
Hiyo serikali ya kitaifa ni matakwa ya kikatibaHaina maana ya kuwa na serikali ya umoja wa kitaifa kama mawazo ya wanasiasa ndo yameishia hapo
Endelea tu kushangaaPorojo hizi
capitalism within Tanzanian context.Ubepari wa ktz upoje? Wa kutoa bandari au mali za umma bure? Wawekezaji kuwahonga wabunge wetu ili wakapitishe mambo yao? Haya mambo ya viongozi wetu ukiyafuatilia kwa karibu! Unaweza kumkufuru Mungu! Ukaomba heri ungezaliwa kunguni au chawa huko afghanistan Ukanyonye mataliban damu kuliko kujinasibu eti mi mtanzania! Aibu kiwango cha blue ray.
Tena ilibidi tuanze na hii sekta, inapesa sana hiiTunakoelekea Misikiti na Makanisa yatabinafsishwa
Safi sana Bara tuige itakomesha wizi na uzembe MwingineAkiongea na Wandishi wa habari Waziri wa Afya Nassor Mazirui (ACT wazalendo) amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ipo kwenye mchakato wa kubinafsisha Hospitali zote za Zanzibar ile ziweze kuendeshwa na watu binafsi kuleta tija.
Ikumbukwe tayari mpango huu umeshaanza kutekelezwa hasa katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, ambapo huduma zote za Maabara na Vipimo vya Mionzi na Ultrasound tayari zinasimamiwa na makampuni binafsi.
Taarifa zisizo rasmi zinaonesha Lancent Labartories Ltd ndio wanaosimamia mpango huo kwa sasa. Tangu Dr. Ali Hussein Mwinyi aingie madarakani amefanya mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali kisiwani humo.
Katika Sekta ya Afya amefanikiwa kujenga hospitali kubwa za rufaa za mikoa za kisasa na kuajiri idadi kubwa ya madaktari na watoa huduma wa idara mbalimbali. Idadi hiyo inakadiriwa kuwa kiwango kikubwa kuliko awamu zilizopita.
Hata hivyo Dr. Hussein Mwinyi anapongezwa kwa usimamizi mzuri wa rasilimali za umma na hivyo kuungwa mkono na Wananchi wengi.
Hawa ndio Marais naowataka Mimi Sasa,sio wapumbavu wa Tanganyika na ujamaa wao wa kisenge matokeo yake ni kulea majitu mazembeDadeq,
Mwinyi ni pro- Capitalism wa kiwango cha juu sana,
Hope itawaletea tija kubwa
Saizi maeneo yote yamefikiwa na hospital za Umma , Serikali ikomeshe kutumia Kodi zetu hovyoSio kweli, hizo hospitali za kanisa zinatoa msaada maeneo hata yasiyo na hospitali za umma kwa bei nafuu sana sababu ya hiyo ruzuku ya serikali. Kingine zinatibu hata wasio wakristo mfano kama kule Mafia hospitali ya kanisa inatibu eneo ambalo ni 99% Muslim Sasa unategemea wakiziendesha kama private hospital, hao wananchi matibabu watayamudu?
Afya na udini wapi na wapi