Waziri Nassor Mazrui: Hospitali zote za Zanzibar kupewa Sekta Binafsi waziendeshe

Sema kama una pesa huu ndo muda wa kula sasa, upewe hospital moja ya rufaa udeal nayo upige pesa
Mtu binafsi anatafuta faida so lazima apige kazi kweli kweli hakuna uzembe. So as much as sikubaliani nayo ila ukweli usemwe private sector wako serious kwenye kazi kuliko serikalini.

Angalia tu ATCL linganisha na Precision, au TTCL na Vodacom, au TRA na Deloitte, ama Azania na Marian!!

Let's be serious serikali inabidi ibadili mfumo wa jinsi inaendesha taasisi ikiwezekana mishahara isitoke hazina Bali kwenye taasisi husika Ili Kila mtu alipwe kutokana na anachozalisha not otherwise
 
Akiongea na Wandishi wa habari Waziri wa Afya Nassor Mazirui( ACT wazalendo) amesema serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ipo kwenye mchakato wa kubinafsisha hospitali zote za zanzibar ile ziweze kuendeshwa na watu binafsi kuleta tija

Ikumbukwe tayari mpango huu umeshaanza kutekelezwa hasa ktk hospitali kuu ya Mnazi Mmoja ambapo huduma zote za Maabara na vipimo vya mionzi na Ultrasound tayari zinasimamiwa na makampuni binafsi.

Taarifa zisizo rasimi zinaonesha Lancent Labartories ltd ndio wanaosimamia mpango huo kwa sasa

Tangu Dr Ali Hussein Mwinyi aingie madarakani amefanya mabadiliko makubwa ktk sekta mbali mbali kisiwani humo.

Ktk sekta ya Afya amefanikiwa kujenga hospitali kubwa za rufa za miko za kisasa na kuajiri idadi kubwa ya madaktari na watoa huduma wa idara mbali mbali inakadiriwa kuwa kiwango kikubwa kuliko awamu zilizopita.

Hata hivyo Dr Hussein mwinyi anapongezwa kwa usimamizi mzuri wa rasilimali za umma na hivyo kuungwa mkono na Wananchi wengi.
View attachment 2700538
😂😂😂
 
naisi Luna mkopo ambao utakuwa una masharti haya ya kubinafisisha taasisi za serikali. Ebu tutafute nyaraka
 
Sio kweli, hizo hospitali za kanisa zinatoa msaada maeneo hata yasiyo na hospitali za umma kwa bei nafuu sana sababu ya hiyo ruzuku ya serikali. Kingine zinatibu hata wasio wakristo mfano kama kule Mafia hospitali ya kanisa inatibu eneo ambalo ni 99% Muslim Sasa unategemea wakiziendesha kama private hospital, hao wananchi matibabu watayamudu?

Afya na udini wapi na wapi
Mwanza na kilimanjaro hamna hospitali za ummah, acha kupotosha huo ni wizi wa kanisa dhidi ya kodi za wananchi, mbona hizo hospitali zinatoza pesa tena
 
Sio kweli, hizo hospitali za kanisa zinatoa msaada maeneo hata yasiyo na hospitali za umma kwa bei nafuu sana sababu ya hiyo ruzuku ya serikali. Kingine zinatibu hata wasio wakristo mfano kama kule Mafia hospitali ya kanisa inatibu eneo ambalo ni 99% Muslim Sasa unategemea wakiziendesha kama private hospital, hao wananchi matibabu watayamudu?

Afya na udini wapi na wapi
Ni uvivu tu wakufikiri.

Mm naona kwa serikali kutoa ruzuku kwa huduma zinazotolewa private n jambo jema hii inawezesha wananchi kumudu gharama nzuri katika shirika binafsi.
 
Bora zazibar huku serikali analipa kila mwaka zaid ya 40bn shilling hasipitali za kanisa wakati hizo hela zinatosha kijenga hospiatli za umma kibaya zaidi huo mkataba hauna kikomo.
20230727_152235.png
Hospitali za kanisa😂😂😂👆👆👆👆
 
Akiongea na Wandishi wa habari Waziri wa Afya Nassor Mazirui( ACT wazalendo) amesema serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ipo kwenye mchakato wa kubinafsisha hospitali zote za zanzibar ile ziweze kuendeshwa na watu binafsi kuleta tija

Ikumbukwe tayari mpango huu umeshaanza kutekelezwa hasa ktk hospitali kuu ya Mnazi Mmoja ambapo huduma zote za Maabara na vipimo vya mionzi na Ultrasound tayari zinasimamiwa na makampuni binafsi.

Taarifa zisizo rasimi zinaonesha Lancent Labartories ltd ndio wanaosimamia mpango huo kwa sasa

Tangu Dr Ali Hussein Mwinyi aingie madarakani amefanya mabadiliko makubwa ktk sekta mbali mbali kisiwani humo.

Ktk sekta ya Afya amefanikiwa kujenga hospitali kubwa za rufa za miko za kisasa na kuajiri idadi kubwa ya madaktari na watoa huduma wa idara mbali mbali inakadiriwa kuwa kiwango kikubwa kuliko awamu zilizopita.

Hata hivyo Dr Hussein mwinyi anapongezwa kwa usimamizi mzuri wa rasilimali za umma na hivyo kuungwa mkono na Wananchi wengi.
View attachment 2700538
Utopolo huu wa kupika ili tusijadili DPW.
 
Back
Top Bottom