Waziri Nassor Mazrui: Hospitali zote za Zanzibar kupewa Sekta Binafsi waziendeshe

Means serikali na viongozi wote wameshindwa kuwathibiti wakuu wa hizo taasisi! Viwango vyao vya kusimamia katiba na sheria za nchi vime expire! Hakuna haja ya kuwa na tume za maadili, usalama wa taifa, polisi , mahakama. Jela au takukuru! Hivyo vyote vinawahusu tu wananchi wa kawaida ambao sio viongozi! Mabosi wa bandar , atcl.posta, benk kuu etc. Wakiiba au kufilsi taasis zetu wanatafutiwa mbadala ambaye ni mwekezaji atakaeziba mikondo ya wizi ,uzembe na ubunifu! Ccm quemermeryo zenu
 
Duuh sasa serikali inaweza kuendesha nini?
Marekani hospitali za serikali ni za vyombo vya ulinzi na usalama na the rest ni za watu binafsi kwa hili tuwapongeze zanzibar wamejipunguzia mzigo wa uendeshaji na pia wana uhakika wa kodi kutoka hizo kampuni au watu binafsi watakaoendesha maana unajiuliza vituo vya umma vinamapqto ya bima na ya cash halafu wafanyakazi wanalipwa mishahara na serikali wakati vya binafsi vinamapato kama hayo vinanunua kila kitu kulipa mishahara kukodi majengo na faida pia na kuweza kujenga majengo yake wakati hivi vya umma dawa havina vitendea kazi havina majengo mabovu kweli tatizo management ya hivi vituo au hospitali
Hongera sana Zanzibar.
 
Tunataka ubepari wenye misingi ya kitanzania ( capitalism in Tanzanian context) ili tusonge mbele ile misingi ya zamani haiendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa.
 
Inasikitisha sana
 
Tunataka ubepari wenye misingi ya kitanzania ( capitalism in Tanzanian context) ili tusonge mbele ile misingi ya zamani haiendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa.
Ubepari wa ktz upoje? Wa kutoa bandari au mali za umma bure? Wawekezaji kuwahonga wabunge wetu ili wakapitishe mambo yao? Haya mambo ya viongozi wetu ukiyafuatilia kwa karibu! Unaweza kumkufuru Mungu! Ukaomba heri ungezaliwa kunguni au chawa huko afghanistan Ukanyonye mataliban damu kuliko kujinasibu eti mi mtanzania! Aibu kiwango cha blue rays
 
capitalism within Tanzanian context.
 
Safi sana Bara tuige itakomesha wizi na uzembe Mwingine
 
Saizi maeneo yote yamefikiwa na hospital za Umma , Serikali ikomeshe kutumia Kodi zetu hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…