ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndicho tunataka na kwenye bandari sio upuuzi unaoendelea Sasa hiviMtu binafsi anatafuta faida so lazima apige kazi kweli kweli hakuna uzembe. So as much as sikubaliani nayo ila ukweli usemwe private sector wako serious kwenye kazi kuliko serikalini.
Angalia tu ATCL linganisha na Precision, au TTCL na Vodacom, au TRA na Deloitte, ama Azania na Marian!!
Let's be serious serikali inabidi ibadili mfumo wa jinsi inaendesha taasisi ikiwezekana mishahara isitoke hazina Bali kwenye taasisi husika Ili Kila mtu alipwe kutokana na anachozalisha not otherwise
Sio Kwa viwango vinavyotakiwa ndio maana watu wanaenda Kairuki hospitalMbona Bongo MNH inapiga kazi sana
Ni kweli kweli kabisa. Wizi, uzembe na uvivu umekithiriSafi sana Bara tuige itakomesha wizi na uzembe Mwingine
Vyote vitabinafsishwa,maziyya huku ndio hayo hayo Yako kwenye bandariNi sawa lakin si bandari
Hizo hospital zote zinategemea madaktari wa MNH na hata case nyingi wanazipeleka MNHSio Kwa viwango vinavyotakiwa ndio maana watu wanaenda Kairuki hospital
Nani anapewa Bure? Pesa zitakuwa haziingii Serikalini? Wacha upumbavu wewe jitu jizi na dokozi ,komesha yenu ni sekta binafsiUbepari wa ktz upoje? Wa kutoa bandari au mali za umma bure? Wawekezaji kuwahonga wabunge wetu ili wakapitishe mambo yao? Haya mambo ya viongozi wetu ukiyafuatilia kwa karibu! Unaweza kumkufuru Mungu! Ukaomba heri ungezaliwa kunguni au chawa huko afghanistan Ukanyonye mataliban damu kuliko kujinasibu eti mi mtanzania! Aibu kiwango cha blue rays
Sasa Hujiulizi why Wakiwa huko private wanatoa Huduma makini kuliko foleni ya MNH?Hizo hospital zote zinategemea madaktari wa MNH na hata case nyingi wanazipeleka MNH
Si laini hivo kuna bei elekeziSema kama una pesa huu ndo muda wa kula sasa, upewe hospital moja ya rufaa udeal nayo upige pesa
Iambie serikali iache kulipa ruzuku, hospitali za kanisa zipandishe gharama zitoze kama hospitali za wafanyabishara binafsi.Saizi maeneo yote yamefikiwa na hospital za Umma , Serikali ikomeshe kutumia Kodi zetu hovyo
SahihiSasa Hujiulizi why Wakiwa huko private wanatoa Huduma makini kuliko foleni ya MNH?
Agakhan haitegemei madaktari wa huko Muhimbili, Serikali ipunguze vigezo vya watu kutoka Nje wale wenye utaalamu adhimu waje.
Ukute hujawahi enda AgakhanSasa Hujiulizi why Wakiwa huko private wanatoa Huduma makini kuliko foleni ya MNH?
Agakhan haitegemei madaktari wa huko Muhimbili, Serikali ipunguze vigezo vya watu kutoka Nje wale wenye utaalamu adhimu waje.
Sawa ndio mwanzo wa sekta binafsi ya afya kukua kwa India sekta binafsi ni kubwa zaidi ya umma na hapa kwetu bado sekta ya umma ni kubwa kwa level zile za juu nq ndio maana bado huduma zipo chini siku sekta binafsi ya afya kwa level ya juu ikikuwa ikafikia 85% basi watu watasahau kwenda India.Ukute hujawahi enda Agakhan
Kaulize Clinic za Jumapili na Jumamosi Paeditrician ni wa hospital gani
Nenda Endoscopy uone Dr anatokea wapi
UnaotaSio Kwa viwango vinavyotakiwa ndio maana watu wanaenda Kairuki hospital
Haya majaa ilimu yao yakuunga sana. Hawajui kuna bidhaa lazima serikali igharamie . Wanaamini bepari ana hurumaIambie serikali iache kulipa ruzuku, hospitali za kanisa zipandishe gharama zitoze kama hospitali za wafanyabishara binafsi.
Bugando iwe na gharama kama Agha Khan tuone kama wauza nyanya watatibiwa. Hivi unajua kuna wilaya Tanzania hii hazina hospitali za serikali? Sasa kanisa lipandishe gharama uone wauza majeneza watavyopiga hela
Huu mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na KANISA ni jipu linalosubiri kupasuka.Bora zazibar huku serikali analipa kila mwaka zaid ya 40bn shilling hasipitali za kanisa wakati hizo hela zinatosha kijenga hospiatli za umma kibaya zaidi huo mkataba hauna kikomo.
Safi sana.Akiongea na Wandishi wa habari Waziri wa Afya Nassor Mazirui (ACT wazalendo) amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ipo kwenye mchakato wa kubinafsisha Hospitali zote za Zanzibar ile ziweze kuendeshwa na watu binafsi kuleta tija.
Ikumbukwe tayari mpango huu umeshaanza kutekelezwa hasa katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, ambapo huduma zote za Maabara na Vipimo vya Mionzi na Ultrasound tayari zinasimamiwa na makampuni binafsi.
Taarifa zisizo rasmi zinaonesha Lancent Labartories Ltd ndio wanaosimamia mpango huo kwa sasa. Tangu Dr. Ali Hussein Mwinyi aingie madarakani amefanya mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali kisiwani humo.
Katika Sekta ya Afya amefanikiwa kujenga hospitali kubwa za rufaa za mikoa za kisasa na kuajiri idadi kubwa ya madaktari na watoa huduma wa idara mbalimbali. Idadi hiyo inakadiriwa kuwa kiwango kikubwa kuliko awamu zilizopita.
Hata hivyo Dr. Hussein Mwinyi anapongezwa kwa usimamizi mzuri wa rasilimali za umma na hivyo kuungwa mkono na Wananchi wengi.
Kanisa lirudishiwe shule zake, majengo yake, mkataba wa Afya uvunjwe.Huu mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na KANISA ni jipu linalosubiri kupasuka.
Unazipa taasisi za Kanisa upendeleo wa waziwazi katika biashara zao za huduma ya afya dhidi ya wafanyabiashara wengine wanaotoa huduma kama hizo.
Upendeleo huu wa kibiashara ni kinyume cha katiba ya nchi inayosema kuwa serikali haitoendesha nchi kwa upendeleo.
Ndiyo maana hata huduma ndogo tu kama catering serikali inapaswa itangaze tenda ili watoa huduma mbalimbali wajitokeze na mchakato fair ufanywe, Licha ya kuwa mtoa huduma akipika chakula wanakula watu wote hii haiondoi ukweli kuwa fairness kwenye kumpata inatakiwa.
Hoja kuwa hospitali za kanisa zinahudumia wote haina mashiko. Hata hao watoa huduma wengine nao wanahudumia wote.