Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Warudishiwe tu hospitali zao, waziendeshe wao kama wao maana ni biashara ile.Kanisa lirudishiwe shule zake, majengo yake, mkataba wa Afya uvunjwe.
Mnachofanya kwenye bandari ni tofauti na anachofanya Dkt. Mwinyi.Ndicho tunataka na kwenye bandari sio upuuzi unaoendelea Sasa hivi
😅😅😅Safi sana.
Sisi Watawala kwanini tuteseke akili yakhee.
Tunabinafsisha kila kitu isipokuwa ofisi na Madaraka yetu.
Kazi yetu,inabaki kuletewa pesa tu, kufanya teuzi, kutembelea mataifa mbalimbali na Kula bata tu.
Mgonjwa anatibiwa anapotaka hata kama una huduma nzuri bado atachagua pakwendaMnasema kaboresha na kujenga za rufaa ilhali bado wazanzibar wanakuja kufia hospital za Tanganyika!
Hahaha kazi kweliKanisa lirudishiwe shule zake, majengo yake, mkataba wa Afya uvunjwe.
Huu mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na KANISA ni jipu linalosubiri kupasuka.
Unazipa taasisi za Kanisa upendeleo wa waziwazi katika biashara zao za huduma ya afya dhidi ya wafanyabiashara wengine wanaotoa huduma kama hizo.
Upendeleo huu wa kibiashara ni kinyume cha katiba ya nchi inayosema kuwa serikali haitoendesha nchi kwa upendeleo.
Ndiyo maana hata huduma ndogo tu kama catering serikali inapaswa itangaze tenda ili watoa huduma mbalimbali wajitokeze na mchakato fair ufanywe, Licha ya kuwa mtoa huduma akipika chakula wanakula watu wote hii haiondoi ukweli kuwa fairness kwenye kumpata inatakiwa.
Hoja kuwa hospitali za kanisa zinahudumia wote haina mashiko. Hata hao watoa huduma wengine nao wanahudumia wote.[/QUOTE100%
Aisee Seems aga khan unaiona kwenye TVSasa Hujiulizi why Wakiwa huko private wanatoa Huduma makini kuliko foleni ya MNH?
Agakhan haitegemei madaktari wa huko Muhimbili, Serikali ipunguze vigezo vya watu kutoka Nje wale wenye utaalamu adhimu waje.
huyu jamaa Kila kitu anajifanya anajuaAisee Seems aga khan unaiona kwenye TV
Duuh hii kali.Kwa pesa wanazopewa na serikali ya muungano lazima wafanye maendeleo hayo.
Lancet laboratory ni matapeli hamna kitu., rafiki yangu alikuwa anaumwa akaandikiwa achukue vipimo lancet pale kinondoni. Tulipofika wakampima wakamwambiaa majibu baada ya wiki kwani vipimo vinaenda Africa Kusini. Baada ya muda akaandikiwa achukue vipimo vingine, Kwa sababu alikuwa mkoani alitaka kujua gharama na pia kufanya appointment ili akija aje na asikae muda mrefu. Nilipoenda Lancet walinipa gharama na majibu yatachukua wiki Moja Kwa sababu vipimo vitapelekwa south Africa. Baadae nikasema nipitie TMJ niulizie gharama za vipimo. Nilipofika TMJ walinipa gharama ambazo ni za chini na kunieleza majibu nitapata baada ya dakika 45.Nilishangaa na nikawauliza mbona Lancet Bei Yao ni hii na wanaochukua wiki Moja, yule daktari alicheka na kuniambia Lancet Huwa wanaleta vipimo kwao Ile vipimo kwenda Africa Kusini ni mbwembwe tu.
Utapeli ni biashara kubwa na HALALI kabisa TanzaniaKwa pesa wanazopewa na serikali ya muungano lazima wafanye maendeleo hayo.
Lancet laboratory ni matapeli hamna kitu., rafiki yangu alikuwa anaumwa akaandikiwa achukue vipimo lancet pale kinondoni. Tulipofika wakampima wakamwambiaa majibu baada ya wiki kwani vipimo vinaenda Africa Kusini. Baada ya muda akaandikiwa achukue vipimo vingine, Kwa sababu alikuwa mkoani alitaka kujua gharama na pia kufanya appointment ili akija aje na asikae muda mrefu. Nilipoenda Lancet walinipa gharama na majibu yatachukua wiki Moja Kwa sababu vipimo vitapelekwa south Africa. Baadae nikasema nipitie TMJ niulizie gharama za vipimo. Nilipofika TMJ walinipa gharama ambazo ni za chini na kunieleza majibu nitapata baada ya dakika 45.Nilishangaa na nikawauliza mbona Lancet Bei Yao ni hii na wanaochukua wiki Moja, yule daktari alicheka na kuniambia Lancet Huwa wanaleta vipimo kwao Ile vipimo kwenda Africa Kusini ni mbwembwe tu.
Hahahaa na imeshamiri sanaUtapeli ni biashara kubwa na HALALI kabisa Tanzania
Acha kupotosha watu hizo hospital gharama zake ni kubwa mno kiasi kwamba muumini tu maskini hawezi kumudu itakuwa jamii inayozunhuka hiyo hospitalSio kweli, hizo hospitali za kanisa zinatoa msaada maeneo hata yasiyo na hospitali za umma kwa bei nafuu sana sababu ya hiyo ruzuku ya serikali. Kingine zinatibu hata wasio wakristo mfano kama kule Mafia hospitali ya kanisa inatibu eneo ambalo ni 99% Muslim Sasa unategemea wakiziendesha kama private hospital, hao wananchi matibabu watayamudu?
Afya na udini wapi na wapi
Hospitali za mission Zina gharama kubwa? Nipe mfano tufanye comparison.Acha kupotosha watu hizo hospital gharama zake ni kubwa mno kiasi kwamba muumini tu maskini hawezi kumudu itakuwa jamii inayozunhuka hiyo hospital
Hizo hospital za kanisa zinatibu waislamu pia mbona ? Nyie mnajenga visima vya kutawaza badala ya hospital alafu mnaanza kulialia napa jengeni hospital na Nyie mpewe helaBora zazibar huku serikali analipa kila mwaka zaid ya 40bn shilling hasipitali za kanisa wakati hizo hela zinatosha kijenga hospiatli za umma kibaya zaidi huo mkataba hauna kikomo.
Zipo hospital za uma ina chache na huduma hafifu na hizo hospital za kanisa zimeanza kabla hata ya uhuruMwanza na kilimanjaro hamna hospitali za ummah, acha kupotosha huo ni wizi wa kanisa dhidi ya kodi za wananchi, mbona hizo hospitali zinatoza pesa tena