Waziri Nassor Mazrui: Hospitali zote za Zanzibar kupewa Sekta Binafsi waziendeshe

Ndicho tunataka na kwenye bandari sio upuuzi unaoendelea Sasa hivi
Mnachofanya kwenye bandari ni tofauti na anachofanya Dkt. Mwinyi.

Yeye hauzi majengo na maeneo ya hospitali ila ana delegate portion ndogo tu ya usimamizi. Inapewa kampuni binafsi isimamie kazi halafu serikali itafanya audits tu.

Hili ndilo linahitajika maeneo mengi ili kuondosha uzembe na kulea upuuzi. Wakimaliza hilo waende na Tanesco na TRA kule.
 
Huu mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na KANISA ni jipu linalosubiri kupasuka.

Unazipa taasisi za Kanisa upendeleo wa waziwazi katika biashara zao za huduma ya afya dhidi ya wafanyabiashara wengine wanaotoa huduma kama hizo.

Upendeleo huu wa kibiashara ni kinyume cha katiba ya nchi inayosema kuwa serikali haitoendesha nchi kwa upendeleo.

Ndiyo maana hata huduma ndogo tu kama catering serikali inapaswa itangaze tenda ili watoa huduma mbalimbali wajitokeze na mchakato fair ufanywe, Licha ya kuwa mtoa huduma akipika chakula wanakula watu wote hii haiondoi ukweli kuwa fairness kwenye kumpata inatakiwa.

Hoja kuwa hospitali za kanisa zinahudumia wote haina mashiko. Hata hao watoa huduma wengine nao wanahudumia wote.[/QUOTE100%
 
Kwa pesa wanazopewa na serikali ya muungano lazima wafanye maendeleo hayo.
Lancet laboratory ni matapeli hamna kitu., rafiki yangu alikuwa anaumwa akaandikiwa achukue vipimo lancet pale kinondoni. Tulipofika wakampima wakamwambiaa majibu baada ya wiki kwani vipimo vinaenda Africa Kusini. Baada ya muda akaandikiwa achukue vipimo vingine, Kwa sababu alikuwa mkoani alitaka kujua gharama na pia kufanya appointment ili akija aje na asikae muda mrefu. Nilipoenda Lancet walinipa gharama na majibu yatachukua wiki Moja Kwa sababu vipimo vitapelekwa south Africa. Baadae nikasema nipitie TMJ niulizie gharama za vipimo. Nilipofika TMJ walinipa gharama ambazo ni za chini na kunieleza majibu nitapata baada ya dakika 45.Nilishangaa na nikawauliza mbona Lancet Bei Yao ni hii na wanaochukua wiki Moja, yule daktari alicheka na kuniambia Lancet Huwa wanaleta vipimo kwao Ile vipimo kwenda Africa Kusini ni mbwembwe tu.
 
Duuh hii kali.
 
Utapeli ni biashara kubwa na HALALI kabisa Tanzania
 
Sio kweli, hizo hospitali za kanisa zinatoa msaada maeneo hata yasiyo na hospitali za umma kwa bei nafuu sana sababu ya hiyo ruzuku ya serikali. Kingine zinatibu hata wasio wakristo mfano kama kule Mafia hospitali ya kanisa inatibu eneo ambalo ni 99% Muslim Sasa unategemea wakiziendesha kama private hospital, hao wananchi matibabu watayamudu?

Afya na udini wapi na wapi
Acha kupotosha watu hizo hospital gharama zake ni kubwa mno kiasi kwamba muumini tu maskini hawezi kumudu itakuwa jamii inayozunhuka hiyo hospital
 
Hospitali za mission Zina gharama kubwa? Nipe mfano tufanye comparison.
 
Hivi na ule mpango wa waziri mwalimu wa daktari wa hospitali ya serikali akimaliza shift yake afuungue private clinic yake hapo hospitali umeshaanza?
 
Bora zazibar huku serikali analipa kila mwaka zaid ya 40bn shilling hasipitali za kanisa wakati hizo hela zinatosha kijenga hospiatli za umma kibaya zaidi huo mkataba hauna kikomo.
Hizo hospital za kanisa zinatibu waislamu pia mbona ? Nyie mnajenga visima vya kutawaza badala ya hospital alafu mnaanza kulialia napa jengeni hospital na Nyie mpewe hela
 
Mwanza na kilimanjaro hamna hospitali za ummah, acha kupotosha huo ni wizi wa kanisa dhidi ya kodi za wananchi, mbona hizo hospitali zinatoza pesa tena
Zipo hospital za uma ina chache na huduma hafifu na hizo hospital za kanisa zimeanza kabla hata ya uhuru
 
Back
Top Bottom