Mikopo yetu ya ufugaji wa samaki bado hamjaruhusu itoke, tatizo nini? Muda unazidi kwenda huu, Juni 30, 2023 mmepanga kutoa tathimini za kupika, sivyo?
Hahahaa, unataka nitaje taarifa zangu ili mkanichinjie baharini eti?
Tazama kwenye hiyo picha niko hapo
Tangu tarehe 30/08/ 2022 hadi leo hii, hola. Mnataka tuanze kufuga hao samaki mwakani?