Waziri Ndaki : Wizara imeridhia wafugaji wote nchini kuongezewa muda wa Usajili na Utambuzi wa Mifugo kielectronic Mpaka desemba 31

Waziri Ndaki : Wizara imeridhia wafugaji wote nchini kuongezewa muda wa Usajili na Utambuzi wa Mifugo kielectronic Mpaka desemba 31

umeomba lini
Hahahaa, unataka nitaje taarifa zangu ili mkanichinjie baharini eti?
Tazama kwenye hiyo picha niko hapo
Mikopo Vizimba.PNG

Tangu tarehe 30/08/ 2022 hadi leo hii, hola. Mnataka tuanze kufuga hao samaki mwakani?
 
Waziri wa Mifugo na Uvuvi apigwe kalamu haraka sana na Mama, huu mradi unaenda kuwa kama ule wa mtoto wa Mseven kule Uganda
 
Back
Top Bottom