Waziri Ndalichako better late than never; Mikopo ya elimu ya juu hailipiki sababu ya Value Retention fee ya 6%

Physics
Chemistry
Biology
BAM
GS
HISTORIA
Hawa vijana hawatalisoma hilo somo
Kidato cha sita mitihani ya mwisho atafanya mitihani ifuatayo;-
1. Physics paper 3
2. Chemistry paper 3
3. Biology paper 3
4. BAM. Paper 1
5. GS paper 1
6. Historia paper 1
Jumla atafanya mitihani 12.
Waziri wa elimu, kiti ulichokikalia sio size yako. Hata hufai kuitwa Prof.
 
Wanapokea lakini badala deni lipungue linaongezeka......
Ndo madhala ya kukopaaa. Hukulifahamu hiloo?? Haaaa haaaaa. Ulivokua unakamua booom, uliona sherehe hadi unamiliki simu ya milioni moja mtoto wa kapuku, sasa ivi ndo akili imekujiaa?? Inachaje kulipika nawakati ulimiliki kabati ya milioni moja na nusu chumba chakupanga cha laki mbili kwa mweziii, kama haya yote ulifanya unashindwaje kulipa??? Tana fanya haraka sanaaa na wengine tukopeee
 
Kwahiyo hili hawalioni? Hebu fikiria kijana ambae hajaajiriwa tangia 2015 retention fee yake inasoma tu na hajui ataajiriwa lini
Tutumie common sense, wanasema akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. Huyu kajitolea, ajira ikitoka kuna maana gani kumuacha? Afterall huyu unamfahamu kuliko aliyekuwa akiuza viazi mtaani. Ndo maana watu kama kichwa kikubwa tunawaona zombi tu.
 
Inawezekana #4 na /au 5 ikachukuliwa au ikaunganishwa na #6?
Huenda wakafanya hivyo kwa ajili ya kuridhisha mawazo ya mtu mmoja tu.

Haya mambo huhitaji mjadala wa wataalam, leo hii ni maagizo tu toka kwa mtu mmoja; ambaye kaamuka tu asubuhi na kujaza tumbo lake, na hapo hapo akakumbuka yeye watamkumbukaje katika historia ya Tanzania!
 
Unapingana na Ndugai spika wako?
 
Achana nae huyo mtoto wa mjomba kamleteni.
 
Acha 'kiherehere cha kijani' wewe!! Hujui sheria zilipitishwa na zikaanzia toka miaka yanyuma wakati makubaliano ya awali yamkopo hayakuwa hivyo?

Wapo hata walimu walokatwa mshahara ukabaki 90,000 wakaacha kazi.

Unaonekana una chuki kali sana
 
Umeelewa mada yangu?
Wanufaika wasiokwenye ajira rasmi wakitaka kulipa 20000-30000 /month deni lao halitaisha sababu watakuwa wanalipa kidogo kwa mwaka kuliko thamani ya retention fee 6%.
Poor reasoning
 
Umeelewa mada yangu?
Wanufaika wasiokwenye ajira rasmi wakitaka kulipa 20000-30000 /month deni lao halitaisha sababu watakuwa wanalipa kidogo kwa mwaka kuliko thamani ya retention fee 6%.
Poor reasoning
Kwahiyo unataka waongezeweee ili kasi ya kupunguza deni ziwe kubwaa??? Safi saana tuishauriii bodi iongeze asilimia za makatoo. Safi saaanaaa.
 
Kukua au kutokukua inategemeana na soko. Nilikuwa na nia ya kupunguza deni taratibu ila kama hali iko hivi acha tutafutane tu hawapati shilingi yangu
 
Silipi sasa hadi waondoe ujinga wao wa value retention fee
Hawaondoi ng'ooo. Ulivokuwa unatamba na simu ya milioni moja mtoto wa kapukuu ulijua kulipa deni ni sherehee?? Lipeniiii haraka saana. Kama hutaki kulipa atakamatwaa guarantors wako. Haaaa haaaaa.
 
Wasiongeze makato wanaweza kufanya value retention fee ni 10% ya kiasi chote ulichokopa. Sio 6% kila mwaka
Kwahiyo unataka waongezeweee ili kasi ya kupunguza deni ziwe kubwaa??? Safi saana tuishauriii bodi iongeze asilimia za makatoo. Safi saaanaaa.
 
Raisi wa wanyonge Yuko busy kujenga stiglers gorge sijui na kununua ndege huku wananchi wakiteseka na Hali mbaya tena anazidisha mikodi kila corner mbaya kuna wapambe wanataka aongezewe mda Ili tuwe Kama zimbabwe ya mugabe
Hii miradi kweli itakamilika kabla ya 2025?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…