Waziri Ndalichako better late than never; Mikopo ya elimu ya juu hailipiki sababu ya Value Retention fee ya 6%

Wee history ni paper 2 kwani hujui au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawaondoi ng'ooo. Ulivokuwa unatamba na simu ya milioni moja mtoto wa kapukuu ulijua kulipa deni ni sherehee?? Lipeniiii haraka saana. Kama hutaki kulipa atakamatwaa guarantors wako. Haaaa haaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Profesa anayesikia tu tamko la mkulu kuwa lianzishwe somo la Historia ya Afrika Kusini haipiti hata saa 24 tayari ashatangaza kuanzakwa somo hilo kuanzia la kwanza mpaka kidato cha Sita tena kwa Kiswahili ili mradi mkuu afurahi yaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna siku kama sijakosea alisema serikali kwenye makato ya heslb ina haki ya kukata ata mpka robo tatu ya mshahara.[emoji31][emoji31]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Njaa inaondoa heshima
 
Vipi cc hutaman kurudi shule ukapige pindi la history? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Historia mpya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Hii nchi ina kila aina ya maajabu

Sijui somo hilo litaitwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nchi hii kuna maajabu sana.
Profesa anayesikia tu tamko la mkulu kuwa lianzishwe somo la Historia ya Afrika Kusini haipiti hata saa 24 tayari ashatangaza kuanzakwa somo hilo kuanzia la kwanza mpaka kidato cha Sita tena kwa Kiswahili ili mradi mkuu afurahi yaa
 
Endelea kula na kulala kwa shemejio,huwez jua shida anazokutana nazo shemejio kitaa
 
Acha itunyonye
 
Mimi
Mkuu silipi kwa hizo value kamweeee😆😆😆,kama mnanisumbua nawambia hivi, miradi yote nitakayokuwa nayo ntaisajiri kwa jina la mtoto wangu aseee, ikiwezekana jina la dada yangu🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…