Forbes1990
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 513
- 991
Hakuna mzazi hapa ila Ni takatakaHa ha ha ! Naona Covid-19 mnataka mponee kwa wazazi!
Hili tundu tutaliandikia waraka kwa waziri wa elimu km atakaa kimya.
Sikila mwanafunzi aliyefanikiwa alikula shuleni!
Tulishinda njaa shuleni na tulifanikiwa km hivi tulivyo.
Shule za kata hamfundishi zaidi ya kuja na mipango hewa.
Hata watoto wanaofauru nikwa juhudi zao na wazazi wao.
Report na matokeo ya kila mwaka inaonyesha shule zakata wilaya ya hii nisawa na zero.
Darasa la wanafunzi 200 wanafauru Div4 34, Div2 wa3 na Div1 zero.
Mnanjaa mnataka kupiga msosi.
Kila mtu apambane na khari yke.
Masikini mnahangaika sana, Mimi nakumbuka mzazi wangu alikuwa na maisha ya kawaida sana lkn kwenye swala elimu hakuwahi kulalama nilipata kila kitu mpaka cku nahitimu.Ha ha ha ! Naona Covid-19 mnataka mponee kwa wazazi!
Hili tundu tutaliandikia waraka kwa waziri wa elimu km atakaa kimya.
Sikila mwanafunzi aliyefanikiwa alikula shuleni!
Tulishinda njaa shuleni na tulifanikiwa km hivi tulivyo.
Shule za kata hamfundishi zaidi ya kuja na mipango hewa.
Hata watoto wanaofauru nikwa juhudi zao na wazazi wao.
Report na matokeo ya kila mwaka inaonyesha shule zakata wilaya ya hii nisawa na zero.
Darasa la wanafunzi 200 wanafauru Div4 34, Div2 wa3 na Div1 zero.
Mnanjaa mnataka kupiga msosi.
Kila mtu apambane na khari yke.
Huko walipo mchele mwingi wamevuna..Mkuu usikurupuke kuangalia Jumla inayochangwa,,SIJUI Millioni nne ama tani 20!.. Jambo la kwanza kujiuliza ,,Nini lengo la matumizi ya huo mchele na pesa kama ilivyo ombwa na shule?. kama ni kwa ajili ya chakula cha watoto wawapo shuleni piga hesabu nyepesi,, Je kiasi hicho kinakadiriwa kutumika kwa muda gani?.. Je kipo katika uwiano sawa ie.
1kg watu 4... kisha ndo uje na hoja ya upigaji kwa walimu.. MUDA ULIOPOTEA LAZIMA UFIDIWE JE MWANAO ATASHINDA NJAA SHULENI?.. Mwisho wa Siku sio kesi UNAWEZA usilipe na mwanao akashinda na njaa shulenii,,,,,hili ki malezi tarajia changamoto,,kama ni wa kike na ameivaa watu wataanza kuvuna ili apate buku mbili A chipsi,,,na kama ni dume litatafuta plan B ili lipate kula,,,hapo lolote litatokea,,,,,ELIMU NI GHARI
Mkuu hebu taja jina la hiyo shule,, Sio unapiga lamli chonganishi,,Na Tamko la kufungua shule limetoka jana ,,kwa hiyo Jana hiyo hiyo,,walimu wamekutana na kuagiza mchango wa tsh 3000/= na tayari taarifa zimekufikia wewe mzazi jana hiyo hiyo?.. Taarifa zimewafikia kwa njia ipi? maake wanafunzi wamefunga,,kama mmeandikiwa barua au kutumiwa sms weka ushahidi hapaYajayo yanafurahisha! Covid-19 kazi ni kwenu!
Shule nyingine ipo wilaya ya ikungi, imeelekeza wanafunzi waende na tsh. 3000@ kwa ajiri yakununulia vifaa kwa ajiri ya kujikinga na covid-19.
Kumekucha.
Walimu njooni mtoe povu! Corona ni fulsa siyo janga km alivyosema pascal.
Mwl. Mmoja alisikika akisema kipindi hiki cha uchaguzi ndio chakupiga! Serikari iko likizo,
Shule nyingine inaandaa kanuni ya kuandikisha watoto wa darasa la kwanza , bila kuwa na 5000@ huandikishwi! Hii ni kwaajiri ya vifaa vya kujikinga na covid-19!
Nasema kumekucha, TAKUKURU WASIISHIE KWA CHADEMA TU. Kuna haja ya shule hizi kuchunguzwa! Wazazi hawapewi wito!
Wewe tulia mzee!Mkuu hebu taja jina la hiyo shule,, Sio unapiga lamli chonganishi,,Na Tamko la kufungua shule limetoka jana ,,kwa hiyo Jana hiyo hiyo,,walimu wamekutana na kuagiza mchango wa tsh 3000/= na tayari taarifa zimekufikia wewe mzazi jana hiyo hiyo?.. Taarifa zimewafikia kwa njia ipi? maake wanafunzi wamefunga,,kama mmeandikiwa barua au kutumiwa sms weka ushahidi hapa
"Ualimu wito" unajua inatumika katika mazingira gani hiyo slogan? , wewe mwalimu au mzazi?Usipende kuchangia mkuu huku ushatupia vitu vyako kichwani inaonyesha ni mjinga kiasi gani...."buku mbili tu" manaake Nini Kama ingekuwa si pesa wasingeihitaji ualimu ni wito na si biashara....tutahoji tu hata Kama ni shilingi Mia...
Sent from my itel S32 using JamiiForums mobile app
Mkuu hebu taja jina la hiyo shule,, Sio unapiga lamli chonganishi,,Na Tamko la kufungua shule limetoka jana ,,kwa hiyo Jana hiyo hiyo,,walimu wamekutana na kuagiza mchango wa tsh 3000/= na tayari taarifa zimekufikia wewe mzazi jana hiyo hiyo?.. Taarifa zimewafikia kwa njia ipi? maake wanafunzi wamefunga,,kama mmeandikiwa barua au kutumiwa sms weka ushahidi hapa
Tanzania ni maskini, lakini wewe ni maskini zaidi.
Uza hiyo Itel yako usomeshe watoto.
Mkuu, I'm sure wewe ni kati ya wazazi ambao hawahudhurii kabisa vikao vya shule pindi wazazi tunapo itwa.