Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
- Thread starter
-
- #61
Dahhhh.....
Naona povu kama umemeza Omo..[emoji23][emoji23]
Na bahati mbaya sijapata muda wa kufuatilia mashuzi aiseee, nipo busy kitaa kutafuta shilingi ili nikamalizie kulipa ada ya wanangu...[emoji41][emoji41]
Wakati unalaumu walimu kwa kufeli kwa wanafunzi pia kumbuka mwalimu anachangia only 25% ya ufaulu wa mwanafunzi. Vipi kuhusu hizo 75% zilizobaki?Ha ha ha ! Naona Covid-19 mnataka mponee kwa wazazi!
Hili tundu tutaliandikia waraka kwa waziri wa elimu km atakaa kimya.
Sikila mwanafunzi aliyefanikiwa alikula shuleni!
Tulishinda njaa shuleni na tulifanikiwa km hivi tulivyo.
Shule za kata hamfundishi zaidi ya kuja na mipango hewa.
Hata watoto wanaofauru nikwa juhudi zao na wazazi wao.
Report na matokeo ya kila mwaka inaonyesha shule zakata wilaya ya hii nisawa na zero.
Darasa la wanafunzi 200 wanafauru Div4 34, Div2 wa3 na Div1 zero.
Mnanjaa mnataka kupiga msosi.
Kila mtu apambane na khari yke.
Wakati unalaumu walimu kwa kufeli kwa wanafunzi pia kumbuka mwalimu anachangia only 25% ya ufaulu wa mwanafunzi. Vipi kuhusu hizo 75% zilizobaki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unarukaruka kama maharage yanayo karibia kuiva...[emoji41][emoji41]Mtapata taabu sana, wenzenu wameng'atwa huko kagera mchana huu.
Fatilia taarifa ya habari kiganjani kwako.
Huyu anataka asomeshewe bure, na kisha pia mwanae apewe chakula pia bure...[emoji23][emoji23]Mkuu si ulipe tu mwanao asome vizuri asishinde na njaa akiwa shule.
Kijana alizaa kwa starehe zake, leo analiana na serikali qudadadeqi....[emoji23][emoji23]Nchi hii inavituko wengine wanawaza Ada million 2 ya mtoto wa kindergarten wewe unalia Lia mpak kwa waziri eti elfu 20 unapenda vya Bure et?
Mkuu Mimi Niko huku magu mchele kwa sasa kilo ni shilingi 800-1000 ,huyu ni mzazi uchwaraKilo 1 huku dar Ni tsh 1700... Kwa hiyo umekosa shilingi 17,000 ununue hizo kilo 10 ili mwanao apate elimu Bora.
Leo si tumeambiwa maisha ya watanzania yamepanda tangu kusimikwa kwa awamu ya 5 nini tena mapovu yanakutoka kwa hela ya Castle light 5.
Umeongea point kali SANA...Hapo kilo kumi mwano anauwezo wa kupata milo 40 tu, kumbuka ile 2000 ni ya kuni, mpishi mafuta na mboga. Sasa huna sababu za kulia kiasi hicho! Ukiona huwezi na utampatia mwanao fedha mfano mia tano kwa siku, kwa siku 40 ni 20,000!!! Jitambue kwa maslahi mapana ya mwanao
Premature spermHa ha ha ! Naona Covid-19 mnataka mponee kwa wazazi!
Hili tundu tutaliandikia waraka kwa waziri wa elimu km atakaa kimya.
Sikila mwanafunzi aliyefanikiwa alikula shuleni!
Tulishinda njaa shuleni na tulifanikiwa km hivi tulivyo.
Shule za kata hamfundishi zaidi ya kuja na mipango hewa.
Hata watoto wanaofauru nikwa juhudi zao na wazazi wao.
Report na matokeo ya kila mwaka inaonyesha shule zakata wilaya ya hii nisawa na zero.
Darasa la wanafunzi 200 wanafauru Div4 34, Div2 wa3 na Div1 zero.
Mnanjaa mnataka kupiga msosi.
Kila mtu apambane na khari yke.
Ambacho naweza kukwambia punguza ujinga kichwani mwako . Walimu hawana njaa kama wewe unaye lalamika kuchangia tsh.2000/ na unadhani hiyo 2000/ ya mwanao huyo mwalimu anafanyia nini?Ha ha ha ! Naona Covid-19 mnataka mponee kwa wazazi!
Hili tundu tutaliandikia waraka kwa waziri wa elimu km atakaa kimya.
Sikila mwanafunzi aliyefanikiwa alikula shuleni!
Tulishinda njaa shuleni na tulifanikiwa km hivi tulivyo.
Shule za kata hamfundishi zaidi ya kuja na mipango hewa.
Hata watoto wanaofauru nikwa juhudi zao na wazazi wao.
Report na matokeo ya kila mwaka inaonyesha shule zakata wilaya ya hii nisawa na zero.
Darasa la wanafunzi 200 wanafauru Div4 34, Div2 wa3 na Div1 zero.
Mnanjaa mnataka kupiga msosi.
Kila mtu apambane na khari yke.
Kama kweli wewe ni mzazi naihurumia familia yakoHa ha ha ! Naona Covid-19 mnataka mponee kwa wazazi!
Hili tundu tutaliandikia waraka kwa waziri wa elimu km atakaa kimya.
Sikila mwanafunzi aliyefanikiwa alikula shuleni!
Tulishinda njaa shuleni na tulifanikiwa km hivi tulivyo.
Shule za kata hamfundishi zaidi ya kuja na mipango hewa.
Hata watoto wanaofauru nikwa juhudi zao na wazazi wao.
Report na matokeo ya kila mwaka inaonyesha shule zakata wilaya ya hii nisawa na zero.
Darasa la wanafunzi 200 wanafauru Div4 34, Div2 wa3 na Div1 zero.
Mnanjaa mnataka kupiga msosi.
Kila mtu apambane na khari yke.
Utakufa we wakati unazaa ulijua utawatunzaje watt wako [emoji23][emoji23][emoji23] be responsible acha kulialia kisa ufukara wako.Yajayo yanafurahisha! Covid-19 kazi ni kwenu!
Shule nyingine ipo wilaya ya ikungi, imeelekeza wanafunzi waende na tsh. 3000@ kwa ajiri yakununulia vifaa kwa ajiri ya kujikinga na covid-19.
Kumekucha.
Walimu njooni mtoe povu! Corona ni fulsa siyo janga km alivyosema pascal.
Mwl. Mmoja alisikika akisema kipindi hiki cha uchaguzi ndio chakupiga! Serikari iko likizo,
Shule nyingine inaandaa kanuni ya kuandikisha watoto wa darasa la kwanza , bila kuwa na 5000@ huandikishwi! Hii ni kwaajiri ya vifaa vya kujikinga na covid-19!
Nasema kumekucha, TAKUKURU WASIISHIE KWA CHADEMA TU. Kuna haja ya shule hizi kuchunguzwa! Wazazi hawapewi wito!
We kuna mtu amekulazimisha kumpeleka hapo? We fanya kumuhamisha umpeleje shule inayoendana na unavyotaka. It's very simple.Pia mhe. NDALICHAKO tunaomba uangalie suala la muda wa watoto wetu kukaa shule. maana kuna uwezekano waalimu wa shule binafsi kwa kuwa wanashindana wakaamua mpaka mtoto wa CHEKECHEA au darasa la kwanza basi atoke shule saa 12 jioni. wazazi wengine HATUTAKIIIIIII. ( sisi si limbukeni wa elimu ya makaratsi ) mtoto asome kama inavyoshauriwa kitaalam. Pia hili suala la mtoto akifika darasa la NNE akae Boarding halikadhalika wazazi wengine HATUTAKIIIII ( FACILITIES zenyewe hawana, watoto wanaamshwa saa 10 usiku eti anasomea mtihani wa DARASA LA NNE SAA 10 USIKU ) sisi HATUTAKI ,tunaomba tupewe option ya watoto wetu watoke nyumbani. Toeni muongozo.