The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Jiwe is a reckless presidentWananchi wa Kusini wakiangalia kinachoendelea Chato huku zao lao la korosho likiwa limehujumiwa, na 200b za mfuko wa korosho zikiwa zimeporwa kwenda kununulia ndege, kwa vyovyote watataka rais safari hii atoke kusini ili akapendelee kwao.
Yeye kwa mawazo yake anadhani ataishi MileleSasa hivi achote hela za walipa Kodi kujenga kwake hata kama hamna maslahi ,siku akifa lazima hayo majengo yabakie magofu
Duh! Kazi iko. Asante kwa post yako mkuuππitaanza watumishi wote lazima wafanye utalii buricha ili wabaki na ajira,next mikutano yote ya mambo ya utalii italazimishwa kufanyika huo,then wafanyabiashara wataambiwa wakafanye utalii kama hujaenda urgency note,Makampuni ya utalii yatapewa target ya kupeleka watalii hata kama hawataki then tutapewa data za watalii waliotembelea Over.
Hivi siku hizi Biharamulo ipo mkoa wa Chato?
Uzembe wa Nyerere Butiama hatakiwi kurudiwaNiliwahi kusema humu kwamba yuko waziri wa mawaziri, ndio anayetoa mwongozo wa cha kufanya, hawa mawaziri wengine wote akiwemo Waziri Mkuu kazi yao ni kujibu maswali bungeni tu.
Haiwezekani mawaziri wote waachane na Dodoma waanze kushadadia Chato, hata kama watanzania ni mabwege zumbukuku, si kwa utopolo huu wanaofanyiwa.
Wewe umebadili id tena unaanza tena kejeli ,hapo kijijini Copenhagen sio mbali utafikiwa fala weweJiwe is a reckless president
Si ulikuwa unampigia chapuo kachero mbobezi na uzushi wako wa korosho?Wananchi wa Kusini wakiangalia kinachoendelea Chato huku zao lao la korosho likiwa limehujumiwa, na 200b za mfuko wa korosho zikiwa zimeporwa kwenda kununulia ndege, kwa vyovyote watataka rais safari hii atoke kusini ili akapendelee kwao.
Waziri Ndumbalo is a very intelligent man na mwenye msimamo - hakusema Biharamulo-Chato kwa bahati mbaya/slip up, kuna kitu wanakilenga katika harakati za kutangaza utalii - wangesema Biharamulo - Mleba/Karagwe ingewachanganya Watalii walio zoea kusikia kwenye matangazo/media kuhusu: Chato-Burigi, Chato-Lubondo, Chato..., kinacho uzika kiutalii ni neno Chato, hivi sasa icon hiyo imekwisha jengeka na kuzoeleweka Kimataifa - Dk. Ndumbalo angesema Biharamulo bila kuongezea neno Chato, sina shaka potential tourists wangekuwa confused na kuhoji kwani Biharamulo inawezaje kuwa kwenye circuit ya utalii bila ya kuishirikisha wilaya ya Chato.
Hazijanunua ndege.zimeenda kuijenga CHATO.Wananchi wa Kusini wakiangalia kinachoendelea Chato huku zao lao la korosho likiwa limehujumiwa, na 200b za mfuko wa korosho zikiwa zimeporwa kwenda kununulia ndege, kwa vyovyote watataka rais safari hii atoke kusini ili akapendelee kwao.
Ni kweli sasa ni Chatu na wala sio Chato tena kwa umezaji huu.Asante sana waziri kwa sasa Chato aka chatu inapaa kama jet. Mungu mbariki rais JPM
Kwakweli wangenisaidia nini maana ya utalii wa mashamba ya misitu basi ningeshukuru sana!Maana mpaka sasa bado sijaelewa!I once asked hivi hawa wanajua maana na aina za utalii duniani au wanajitungia yao ili mradi kila kitu kiwe Chaito ?
Si ulikuwa unampigia chapuo kachero mbobezi na uzushi wako wa korosho?
Daaaah,aibu nimeona mimi kwa comment hiii!ππππWaziri Ndumbalo is a very intelligent man na mwenye msimamo - hakusema Biharamulo-Chato kwa bahati mbaya/slip up, kuna kitu wanakilenga katika harakati za kutangaza utalii - wangesema Biharamulo - Mleba/Karagwe ingewachanganya Watalii walio zoea kusikia kwenye matangazo/media kuhusu: Chato-Burigi, Chato-Lubondo, Chato..., kinacho uzika kiutalii ni neno Chato, hivi sasa icon hiyo imekwisha jengeka na kuzoeleweka Kimataifa - Dk. Ndumbalo angesema Biharamulo bila kuongezea neno Chato, sina shaka potential tourists wangekuwa confused na kuhoji kwani Biharamulo inawezaje kuwa kwenye circuit ya utalii bila ya kuishirikisha wilaya ya Chato.
Kwani Chato siyo TZ. Acheni ubaguzi.Sio kanda ya ziwa, sema wajengee Chato, acha kuzunguka zunguka.
Daaaah,aibu nimeona mimi kwa comment hiii!ππππ
Kwakweli wangenisaidia nini maana ya utalii wa mashamba ya misitu basi ningeshukuru sana!Maana mpaka sasa bado sijaelewa!
Sasa kwann iwe ni Biharamulo-chato na si Biharamulo-Kagera?