Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haijakamilika maana yake unakijua kilichopunguaMbona taarifa haijakamilika mkuu?
Ukizama ndani kujua Haya utagundua Pengine hajalipwa hizo pesa za kazi lakini kwakua awamu hii tunaongozwa kwa mizuka ndo yanajitokeza Haya sasaDuh...!, nimeona kweli jamaa kazirai!, ila tuelezane ukweli, jamaa alikuwa na matatizo mengine ya kiafya, hivyo kauli ya Jafo ikawa ni kama tuu kumsukuma mlevi, kinachomwangusha mlevi akisukumwa ni kilevi na sio kusukumwa, tena hapo Joffo anaongea kistaarabu sana, angekuwa ni yule anayefanya bullying?, jamaa si ingekuwa hapo hapo!.
P

.............Kilichomdondosha ni hiyo deadline ya ukomo wa kazi,hata itokee miujiza saa za siku ziongezeke usiku na mchana hiyo kazi kwa huo muda aliopewa hataimaliza ikiwa na ubora unaotakiwa na still hili likitokea bado atakuwa na hatia.Huyo jamaa sijui kama alikuwa amekula, sioni kama kuna neno Kali aliloambiwa zaidi ya presha zake tu!
Msomi ngoja nikurudishe mwaka wa 2 law of tort Eggshell skull - WikipediaDuh...!, nimeona kweli jamaa kazirai!, ila tuelezane ukweli, jamaa alikuwa na matatizo mengine ya kiafya, hivyo kauli ya Jafo ikawa ni kama tuu kumsukuma mlevi, kinachomwangusha mlevi akisukumwa ni kilevi na sio kusukumwa, tena hapo Joffo anaongea kistaarabu sana, angekuwa ni yule anayefanya bullying?, jamaa si ingekuwa hapo hapo!.
Ila pia kiukweli Waziri Jafo na viongozi wote waliokuwepo hapo, wamekosa utu, ubinaadamu, mtu ameanguka ameziarai, that was emergence, ilibidi kila kitu kisimame, mgonjwa apatiwe huduma ya kwanza, lakini waziri aliendelea tuu, na DC wa Dodoma naye akafuatia as if nothing happened!. Tuchape kazi, yes, lakini pia tuwe na utu!, kunapotokea emergency kama ile, no one knows tatizo ni nini, kama ni pressure, asipopata msaada wa haraka in split of seconds, anything can happen!, utu kwanza, kazi baadae!.
P
Mwizi alienda kuiba kwenye nyumba ya Mzaramo, bahati mbaya mwizi akakamatwa, alisemwa hadi akafa. Usifanye mchezo na WazaramoWaziri Huyo Ni Mzaramo Anaweza Kumsema Kuku Akafa Kwa Maneno
Jamaa ka rap ile mbaya.Jafo kweli Mzaramo, Mzaramo anakusema mpaka unakufa.