Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

Vyovyote iwavyo, Corona ni hatari ukizingatia kwamba, bado tunataka kuishi, Tutafanya
 
Nakuhakikishia wakijaribu huu ujinga watu mtashangaa. Asilimia 80 ya watakaojifukiza watafukiwa!
 
Nadhani hii Covid19 haishambulii mapafu pekee, pengine ubongo ndio mwathirika mkuu
 
Nakuhakikishia wakijaribu huu ujinga watu mtashangaa. Asilimia 80 ya watakaojifukiza watafukiwa!
Tuufanyie kazi ushauri huenda tukaokoa Taifa [emoji23][emoji23]
 
When bullshit meets leadership.
No disrespect.. mbinu yenyewe haitibu corona.. ila inapunguza tu effect za corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela. Anawaomba Wakazi na wananchi wote wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kuanza zoezi la Kujifukiza kwa mvuke wenye mchanganyiko ufuatao:-
1. Matunda ya limao mbichi yasiyomenywa.
2.Tangawizi
3.Majani ya mchaichai
4.Magome ya mkalitusi
5.Vitunguu swaumu.
6.Majani ya mapera
7.majani ya maparachichi
8.majani ya stafeli.
Mchanganyiko huu uchemshwe kwa kutumia Chungu/ Sufuria kwa kutumia jiko la mkaa/ gasi. Lakini inasistizwa kutumia mkaa.
Ni rai yetu kuwa tutumie tiba hii, hata kama hauna dalili zozote na/au viashiria vya Corona Virus. Hii itaepusha kwa kiwango kikubwa kuendelea kuenea kwa maambukizi ya ugonjwa huu.
NB: Huu ni mfano tu. Wananchi wanayo haki ya kutumia njia yoyote ya kujifukiza. Nia na madhumuni ya maelekezi haya ni kupambana na janga la Corona Virus(COVID 19).
Kwa ujumbe huu sisi Viongozi wa ngazi zote ndani ya Halmashauri tuwafikishie wananchi katika maeneo yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…