Waziri Stergomena Tax ashiriki Ibada ya Pasaka Kigango cha Shishani Wilayani Magu

..Diploma.

..Bachela

..PhD.

..Kazi serikalini ktk wizara zaidi ya moja.

..Kuongoza jumuiya ya kikanda.

..Hayo niliyoyaeleza hapo juu ndio maana yangu ya kuwa well rounded.

NB:

..kuna kasumba kwamba wanawake wazuri weupe hawana uwezo au akili.
Haha, hizo kasumba nani kamwambia? Yaani umehamia lwenye kasumba?

Nimekuuliza kufanya kazi wizara mbalimbali wangapi wamefanya? Ndo kunakufanya kuwa bora? Kina Ndalichako walianzia certificate hadi PhD then u profesa unawaambiaje?

We jamaa sikuwahi Dhani ni mweupe hivi kichwani haki... so sorry!!
 
..angekuwa MWANAUME msingekuwa mnamdharau kiasi hiki.
Wanaume kibao tu wamebebwa huko serikalini sababu ya undugu, ushemeji, urafiki na uchawi mbona hao tukiwasema roho haikuumi?

Wapo waliobebwa kwa kila hali na akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na hata Samia wa sasa!!
Hawa tuliwaita watoto pendwa wa watawala au mawaziri vipenzi wapo wengi sana!

Mbona huyu mama amekuuma sana? L
 
huyo mama ni kilaza kama vilaza wengine waliopita mfano ndalichako, yule mhagama, ummy mwalimu..bora hata asha-rose migiro kidogo.
 
Ukisikia Mama anapiga mwingi ndio hii sio unaupiga neno anaupiga ni rahaja fulani ya misimu ya kihuni yenye maana tata Ila neno anapiga ndio limekaa Sawa sawia, Mama staergomana Tax anapiga mwingi jimboni kwake

Karibu tumalizie Skanka
 
wengine ndugu zao mkuu lazima imuume. si unajua akili za watz.
 
baba yake ni mzungu mchotara (yaan mgiriki alioa msukuma akamzaa baba yake waziri Tax) na mama yake msukuma. ila amekulia huko usukumani. na baba yake aliishi huko pia.
vijana wa sasa mnakua wabishi mnatubishia wakongwe.
Bas sawaa
 
Ebwana mvua inanyesha njoo huku tupige Skanka,
 
Sasa mtoto mzuri kama Stregomena Tax anagombea maubunge ya nini? Miaka yote aliofanya kazi ajapiga hela za kutosha tu kujiwekeza? au anatafta kufa tu kifo cha ajabu ajabu.
Pesa aliyopiga ilikuwa ya haki,pesa ya haki huwa haitoshi .Pesa ya siasa n Tamu unakula kwa urefu wa kamba Yako
 

..Watz wenye qualifications za kushika nafasi mbalimbali wako wengi.

..Kwamba huyu Mama wa watu ameteuliwa haimaanishi kwamba walioachwa hawana sifa.

..Ninachokataa mimi ni madai kwamba huyu Mama si lolote si chochote kama unavyomuelezea.

..Kwa kifupi hujanishawishi kwamba Dr.Tax sio msomi, na hana sifa na uzoefu, kutumikia ktk nafasi aliyoteuliwa.

NB:

..au wewe ni ndugu Bamwenda?🤣🤣
 
huyo mama ni kilaza kama vilaza wengine waliopita mfano ndalichako, yule mhagama, ummy mwalimu..bora hata asha-rose migiro kidogo.
Kilaza ana phd ya mathematics ya alberta canada, basi wewe utakuwa socrates au plato
 
Mbunge wa hapo atafute kazi nyingine.
Kwanza mtaona Hilo kanisa litasukwa fasta na kua la kileo.
Padre ata bet na kushinda gari la nguvu.
Kiufupi Jimbo amelichukua.
 
..Musukuma na genge zima la Magufuli wanakwenda kuenguliwa kwenye chama.

..Na Musukuma akijifanya mjanja wanakwenda kumbinya kwenye biashara zake.

..walimdhalilisha na kumtukana Upendo sasa Maza kaamua kumuinua.
Kwamba J. Msukuma ni kambi ya late President Magufuli? Fanya tafiti zako zaidi.

Na hilo “genge la late President Magufuli ni lipi haswa kwa majina na lina athari kiasi gani kwenye Chama?

Unazo kumbukumbu kwamba huyo marehemu amehudumu kwenye Chama na serikali ya CCM kwa zaidi ya miaka 20?

J. Msukuma alipata lini ubunge wake na uongozi ndani ya Chama? History yake ndani ya CCM inasemaje?

Kwani haionyeshi kwamba Kete ya Peneza Madam President anaicheza kisiasa zaidi na kimaslahi Kama ilivyokua kwa akina Halima Mdee & 18 others?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…