cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hapo sawaa.Babake alikua Mzungu mamake Msukuma. Kwao Magu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawaa.Babake alikua Mzungu mamake Msukuma. Kwao Magu.
Sawaa...Baba Mgiriki.
..Mama Msukuma.
Haha, hizo kasumba nani kamwambia? Yaani umehamia lwenye kasumba?..Diploma.
..Bachela
..PhD.
..Kazi serikalini ktk wizara zaidi ya moja.
..Kuongoza jumuiya ya kikanda.
..Hayo niliyoyaeleza hapo juu ndio maana yangu ya kuwa well rounded.
NB:
..kuna kasumba kwamba wanawake wazuri weupe hawana uwezo au akili.
Wanaume kibao tu wamebebwa huko serikalini sababu ya undugu, ushemeji, urafiki na uchawi mbona hao tukiwasema roho haikuumi?..angekuwa MWANAUME msingekuwa mnamdharau kiasi hiki.
baba yake ni mzungu mchotara (yaan mgiriki alioa msukuma akamzaa baba yake waziri Tax) na mama yake msukuma. ila amekulia huko usukumani. na baba yake aliishi huko pia.Msukuma yupi anakua hivyo? Wee hapana.
Ukisikia Mama anapiga mwingi ndio hii sio unaupiga neno anaupiga ni rahaja fulani ya misimu ya kihuni yenye maana tata Ila neno anapiga ndio limekaa Sawa sawia, Mama staergomana Tax anapiga mwingi jimboni kwakeWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax, Machi 31, 2024 ameungana pamoja na Waumini wa Dini ya Kikristu katika ibada ya kusherekea Sikukuu ya Pasaka katika Kigango cha Shishani, kilichopo Parokia ya Mtakatifu Kizito Kabila, Magu, chini ya Jimbo Kuu la Mwanza.
Akitoa salamu za Pasaka Parokiani hapo, WaziriTax, ameshukuru kwa kupata wasaa wa kujumuika na Waamini katika Sikukuu hiyo muhimu kwa Wakristu duniani kote kukumbuka Ufufuo wa Yesu Kristu.
Waziri Stergomena amechukua fursa hiyo kumshukuru Mungu kwa baraka anazoendelea kulipatia Taifa letu ikiwa ni pamoja Na mshikamano, amani, na maendelea katika sekta mbalimbali za m kijamii na kiuchumi.
Aidha, ametoa rai kwa waumini wa Parokia ya Mtakatifu Kizito kuendelea kuiombea Tanzania pamoja na Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na viongozi wanaomsaidia katika nafasi mbalimbali. Waziri Tax ameshiriki ameahidi kuendelea kuchangia kwenye ujenzi wa Kanisa unaondelea kila apatapo nafasi kuwa yeye ni sehemu ya Kata ya Shishani.
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Kizito Kabila, Padri Andrea Buhembo, amemshukuru Waziri Stergomena Tax kwa moyo wa upendo na ukarimu aliounyesha wa kujiwekea utaratibu wa kukumbuka kwao, katika hali zote amekuwa akishiriki kwa namna moja ama nyingine katika shughuli za kijamii na kiimani.
wengine ndugu zao mkuu lazima imuume. si unajua akili za watz.Wanaume kibao tu wamebebwa huko serikalini sababu ya undugu, ushemeji, urafiki na uchawi mbona hao tukiwasema roho haikuumi?
Wapo waliobebwa kwa kila hali na akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na hata Samia wa sasa!!
Hawa tuliwaita watoto pendwa wa watawala au mawaziri vipenzi wapo wengi sana!
Mbona huyu mama amekuuma sana? L
Bas sawaababa yake ni mzungu mchotara (yaan mgiriki alioa msukuma akamzaa baba yake waziri Tax) na mama yake msukuma. ila amekulia huko usukumani. na baba yake aliishi huko pia.
vijana wa sasa mnakua wabishi mnatubishia wakongwe.
Ebwana mvua inanyesha njoo huku tupige Skanka,Haha, hizo kasumba nani kamwambia? Yaani umehamia lwenye kasumba?
Nimekuuliza kufanya kazi wizara mbalimbali wangapi wamefanya? Ndo kunakufanya kuwa bora? Kina Ndalichako walianzia certificate hadi PhD then u profesa unawaambiaje?
We jamaa sikuwahi Dhani ni mweupe hivi kichwani haki... so sorry!!
Pesa aliyopiga ilikuwa ya haki,pesa ya haki huwa haitoshi .Pesa ya siasa n Tamu unakula kwa urefu wa kamba YakoSasa mtoto mzuri kama Stregomena Tax anagombea maubunge ya nini? Miaka yote aliofanya kazi ajapiga hela za kutosha tu kujiwekeza? au anatafta kufa tu kifo cha ajabu ajabu.
Haha, hizo kasumba nani kamwambia? Yaani umehamia lwenye kasumba?
Nimekuuliza kufanya kazi wizara mbalimbali wangapi wamefanya? Ndo kunakufanya kuwa bora? Kina Ndalichako walianzia certificate hadi PhD then u profesa unawaambiaje?
We jamaa sikuwahi Dhani ni mweupe hivi kichwani haki... so sorry!!
Is this all?..au wewe ni ndugu Bamwenda?🤣🤣
Mwalimu mwenda alikuwa anafundisha english form twoAlikuwa anaitwa nani
Kilaza ana phd ya mathematics ya alberta canada, basi wewe utakuwa socrates au platohuyo mama ni kilaza kama vilaza wengine waliopita mfano ndalichako, yule mhagama, ummy mwalimu..bora hata asha-rose migiro kidogo.
PhD ya Canada?? na ile English yake not compatible!! Alipataje ?Kilaza ana phd ya mathematics ya alberta canada, basi wewe utakuwa socrates au plato
Sio Bamwenda ???Mwalimu mwenda alikuwa anafundisha english form two
Huko ndo kwao.Kwan huyu mama asili yake kabisa ni wapiii? Natamani sana kujua.
Kwamba J. Msukuma ni kambi ya late President Magufuli? Fanya tafiti zako zaidi...Musukuma na genge zima la Magufuli wanakwenda kuenguliwa kwenye chama.
..Na Musukuma akijifanya mjanja wanakwenda kumbinya kwenye biashara zake.
..walimdhalilisha na kumtukana Upendo sasa Maza kaamua kumuinua.