Waziri Ummy acha kuwasakama wakurugenzi wako. Hata wewe unafanya kazi kwa mazoea

Ajira bila bajeti??
Subirini hadi bajeti ipite.
Mkuu, hizi sio ajira mpya ni ajira za replacement ambazo zipo kwenye utekelezaji wa bajeti iliyopo sasa
 
Mheshimiwa Rais alisema mawaziri wakileta vitu ambavyo havieleweki tuwakosoe. Kwa misingi hiyo naomba nitumie jukwaa hili kumkosoa waziri ummy mwalimu.

Jana kwenye press conference na waandishi wa habari waziri ummy alionyesha masikitiko makubwa juu ya watendaji kufanya kazi kwa mazoea. Ummy alitolea mfano wakurugenzi wa halmashauri ya kilindi, same na uvinza kwamba anatamani angeitisha mkutano wa hadhara ili wananchi wawazomee kutokana na kufanya kazi kwa mazoea.

Ni sahihi dada ummy kukemea tabia hiyo hata mimi nakupongeza kwa sababu tabia ya watendaji kufanya kazi kwa mazoea inachochea uzembe na ucheleweshaji wa maendeleo katika jamii na taifa kwa ujumla.

Lakini itakumbukwa ni takribani wiki ya tatu sasa tangu mheshimiwa Rais aagize wizara ya tamisemi chini ya ummy mwalimu kuajiri haraka walimu 6000 kwaajili ya replacement ila tangu agizo hilo litolewe, waziri Ummy hajatokeza mahali popote kutolea ufafanuzi wa ajira hizo na kinachoendelea.

Je kitendo hicho cha kupuuzia agizo hilo la mheshimiwa Rais, dada ummy huoni kwamba na wewe ni sehemu ya watendaji wanaofanya kazi kwa mazoea..?
Una yako tu...kuajiri ni kusema 123...!!
 
Tulia wewe,mwache waziri afanye kazi yake
Huu siyo muda wa kuendekezana

Ova
 
Mheshimiwa Rais alisema mawaziri wakileta vitu ambavyo havieleweki tuwakosoe. Kwa misingi hiyo naomba nitumie jukwaa hili kumkosoa waziri ummy mwalimu.

Jana kwenye press conference na waandishi wa habari waziri ummy alionyesha masikitiko makubwa juu ya watendaji kufanya kazi kwa mazoea. Ummy alitolea mfano wakurugenzi wa halmashauri ya kilindi, same na uvinza kwamba anatamani angeitisha mkutano wa hadhara ili wananchi wawazomee kutokana na kufanya kazi kwa mazoea.

Ni sahihi dada ummy kukemea tabia hiyo hata mimi nakupongeza kwa sababu tabia ya watendaji kufanya kazi kwa mazoea inachochea uzembe na ucheleweshaji wa maendeleo katika jamii na taifa kwa ujumla.

Lakini itakumbukwa ni takribani wiki ya tatu sasa tangu mheshimiwa Rais aagize wizara ya tamisemi chini ya ummy mwalimu kuajiri haraka walimu 6000 kwaajili ya replacement ila tangu agizo hilo litolewe, waziri Ummy hajatokeza mahali popote kutolea ufafanuzi wa ajira hizo na kinachoendelea.

Je kitendo hicho cha kupuuzia agizo hilo la mheshimiwa Rais, dada ummy huoni kwamba na wewe ni sehemu ya watendaji wanaofanya kazi kwa mazoea..?
Mkuu yaonekana umesota sna kitaa na unatapani sana na wewe kuingia kwenye payroll.
 
Kwa Mkurugenzi wa Temeke, inasikitisha kuona alikuwepo ofisini mpaka leo,amefanya vitimbi vingi sana......

Suala la ajira atatekeleza tu kama Rais hakuongea kisiasa, then mkuu kuwa mpole kidogo.....Magu kawapiga benchi 6yrs, yaani hata mwezi tu bado unalia lia.......tulia
 
Kwahiyo wakurugenzi wanapiga hela
Halafu waziri anasema anatamani aite watu wazomee??

Yeye Ummy Hana uwezo wa kuwasimamisha kupisha uchunguzi??

Utasimamisha wakurugenzi wa Tanzania nzima ukiamua kufanya hilo
 
Rais hawezi kukurupuka katika jambo kama hilo. Tatizo ni ummy na katibu wake ndio wanachelewesha mchakato kwa sababu wanazozijua wenyewe
Nyie hivi hamjui mwaka wa serikali huanza Julia ya kila mwaka, na bajeti pia?
 
Back
Top Bottom