NHIFTZ
Member
- Sep 27, 2020
- 37
- 51
Magonjwa yasiyoambukiza yameongezeka miongoni mwa wananchi ambayo yana gharama kubwa katika kuyatibu.Wakati mikakati ya kuboresha huduma za afya ikiendelea kuwekwa, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amebainisha dalili za kufa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutokana na kulemewa na madeni ya matibabu ya wanachama wake...
Kutokana na ongezeko la magonjwa hayo Mfuko umelazimika kulipia gharama kubwa ya matibabu hayo kwa wanachama wanaougua maradhi hayo.