johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa..... Nimerekebisha bwashee!Sijaelewa yani..!! Waziri wa Afya Ummy Mwalimu..!!
Wakati mwingine zilongwa mbali zitendwa mbali ngoja tuone!Angalau Sasa mawaziri wanaonekana kujiamini ktk kutimiza majukumu yao
Ngoja tuone!Huyo waziri Ummy anapiga siasa za kichovu na kuchekesha walionuna. Kwa taarifa yake hakuna Mkuu wa mkoa wa wilaya anamuogopa, maana wao ndio waliratibu na kusimamia uchaguzi uliowaingiza ccm madarakani. Sasa kama walijiingiza kwenye siasa, hadi yeye akawa mbunge hatimaye waziri, ni kipi atawazuia kufanya? Isitoshe huyo waziri Ummy sio aliyewateua hao wakuu wa mikoa na wilaya, hivyo hana lolote anaweza kuwafanya.
Mara ya mwisho mkuu wa wilaya kukamata Daktari ilikuwa lini? Halafu hayo mambo yalikuwa kawaida yeye alipokuwa waziri wa afya, siku kukiwa na shida viongozi wanakimbilia kwa Dr Gwajima..