sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Ummy anafoka sasa baada ya Magufuli kuaga dunia.Ndio unaanza kujitambua so sad, Tanzania tuache unafiki.kila mtu aliyebeza nguvu ya Corona wakati wa enzi za chuma cha pua sasa wanadamshi.Kama mlikwa akili zenu zimekodishwa.Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa wanasiasa kuingilia taaluma ya Uuguzi.
Waziri Ummy amesema tabia ya Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwakamata Wauguzi na Madaktari na kuwaweka ndani haikubaliki kabisa na atakayethubutu kuwachezea watumishi wa afya yeye kama Boss wao atawashughulikia ipasavyo.
Waziri Ummy amesema hayo mkoani Manyara.
Chanzo: ITV habari
Mama Yetu anza upya na watu wapya.