Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Sio bure tu naangalia maslahi yangu siku nikifika kupewa huduma walau ziwe bora. Nina imani na Dr Gwajima kubadilisha mambo unaweza mchukulia poa anapoongea au ukiangalia demeanour zake zinaonekana kama za Mwajuma Ndala ndefu, ila aminia yule mama anaifahamu hiyo wizara head to toe.Gwajima comedian ndio anaimudu wizara ya Afya?! Huyo mama unampenda sana!
Kesha edit we pia editSijaelewa yani..!! Waziri wa Afya Ummy Mwalimu..!!
Wakuu wa wilaya na mikoa wako chini yake, lazima atoe tamko kuzibiti ma-RC na ma-DC kukiuka sheria na kuonea watuMara ya mwisho mkuu wa wilaya kukamata Daktari ilikuwa lini? Halafu hayo mambo yalikuwa kawaida yeye alipokuwa waziri wa afya, siku kukiwa na shida viongozi wanakimbilia kwa Dr Gwajima...
Wigo wa kauli yake,aongeze na kwa Taaluma zingine,wanasiasa waache kutoa matamko dhidi ya kazi za kitaalamu.Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa wanasiasa kuingilia taaluma ya Uuguzi..
Kwahiyo kwako wewe unaona hospital kama taasisi ya serikali kuwagawia miti/kuni magereza ambao pia ni taasisi ya serikali kwako ni kosa?! Pengine ingekuwa hoja kama ameuza miti hiyo na kuweka fedha mfukoni kwake. Leta hoja badala ya vioja.Mama Ummy Mwalimu najua una account hapa JF au watu wako wapo humu...hebu weka mtego kwa huyu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana! Mbona kazidi kuwadhalilisha watumishi wa Afya na hasa Wauguzi...
Ana uwezo mkubwa wa kuwachongea.Huyo waziri Ummy anapiga siasa za kichovu na kuchekesha walionuna. Kwa taarifa yake hakuna Mkuu wa mkoa wa wilaya anamuogopa, maana wao ndio waliratibu na kusimamia uchaguzi uliowaingiza ccm madarakani. Sasa kama walijiingiza kwenye siasa, hadi yeye akawa mbunge hatimaye waziri, ni kipi atawazuia kufanya? Isitoshe huyo waziri Ummy sio aliyewateua hao wakuu wa mikoa na wilaya, hivyo hana lolote anaweza kuwafanya.
Mmmghhhh nyie bendera fuata upepo mnakera sana, nyie si ndio mlishangilia yule Muuguzi wa Kilimanjaro kukatwa mshahara wake kwa kifo cha Mama mzazi?? Nyie MATAGA ni konyo kweli, mko kama sigara kaliNi muhimu sana hili likazingatiwa.
Pia watumishi wa afya waache kuchomeana
We ndiye unapiga porojo, kwa hiyo wewe kwa akili zako kizibo unaona ni halali DC au RC kumuweka ndani mtumishi?!. Wapumbavu Kama nyie ndiyo mnaturudisha nyuma maana akili zenu ziko matakoni na si kwenye ubongo.Huyo waziri Ummy anapiga siasa za kichovu na kuchekesha walionuna. Kwa taarifa yake hakuna Mkuu wa mkoa wa wilaya anamuogopa, maana wao ndio waliratibu na kusimamia uchaguzi uliowaingiza ccm madarakani. Sasa kama walijiingiza kwenye siasa, hadi yeye akawa mbunge hatimaye waziri, ni kipi atawazuia kufanya? Isitoshe huyo waziri Ummy sio aliyewateua hao wakuu wa mikoa na wilaya, hivyo hana lolote anaweza kuwafanya.
Huyu bongo movie nae unaona kaimudu wizara?!Mara ya mwisho mkuu wa wilaya kukamata Daktari ilikuwa lini? Halafu hayo mambo yalikuwa kawaida yeye alipokuwa waziri wa afya, siku kukiwa na shida viongozi wanakimbilia kwa Dr Gwajima...
Pia hata yeye Ummy ,wakati akiea Wizara ya Afya alikatazwa kuguata ushauri wa wataalamu wa Afya,hadi akakatazwa kutangaza idadi ya wagonjwa wa Corona,kwa maelekezo ya mwana siasa/mwendazake.Huyo waziri Ummy anapiga siasa za kichovu na kuchekesha walionuna. Kwa taarifa yake hakuna Mkuu wa mkoa wa wilaya anamuogopa, maana wao ndio waliratibu na kusimamia uchaguzi uliowaingiza ccm madarakani. Sasa kama walijiingiza kwenye siasa, hadi yeye akawa mbunge hatimaye waziri, ni kipi atawazuia kufanya? Isitoshe huyo waziri Ummy sio aliyewateua hao wakuu wa mikoa na wilaya, hivyo hana lolote anaweza kuwafanya.
Duh!Pia hata yeye Ummy ,wakati akiea Wizara ya Afya alikatazwa kuguata ushauri wa wataalamu wa Afya,hadi akakatazwa kutangaza idadi ya wagonjwa wa Corona,kwa maelekezo ya mwana siasa/mwendazake,
Au Anafikili sisi wote ni Nyumbu wa kijani tumesahau?
We ndiye unapiga porojo, kwa hiyo wewe kwa akili zako kizibo unaona ni halali DC au RC kumuweka ndani mtumishi?!. Wapumbavu Kama nyie ndiyo mnaturudisha nyuma maana akili zenu ziko matakoni na si kwenye ubongo.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app