Waziri Ummy: Marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuingiza Siasa kwenye taaluma ya Uuguzi

Ummy anafoka sasa baada ya Magufuli kuaga dunia.Ndio unaanza kujitambua so sad, Tanzania tuache unafiki.kila mtu aliyebeza nguvu ya Corona wakati wa enzi za chuma cha pua sasa wanadamshi.Kama mlikwa akili zenu zimekodishwa.
Mama Yetu anza upya na watu wapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…