johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapana vyama nje ya CCM huwa vinatuchelewesha sana.Dah!!! Chadema inahitajika sana Bungeni...
Visima hapana, wasije kuzimia moto na maji ya [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90] kutoka vyoo vya sokoni.Waziri wa Tamisemi mh Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
Sasa yeye hapo umi anaona katimiza wajibu wake katika kukabiliana na hilo janga, utasikia mpaka mawaziri ya mambo ya nje, elimu na michezo watatoa matamko yaoHakuhitajiki kauli za kukurupuka. Badala uake kunatakiwa kuwa na mpango maalum wa kuangalia namna ya kushughulikia majanga. Janga siyo moto pekee yake.
Wanatakiwa watu wenye uwezo wa kuyaona majanga kabla hayajatokea. Hao ndio 5t wanaweza kutengeneza action plan ya kushugjulikia majanga ya aina mbalimbali.
Safi kabisa Ummy! Nakupenda uko quick in understanding! Natamani uwe ndiye ajayeWaziri wa Tamisemi mh Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
Bora hivyo visima vichimbwe kwenye vituo vya zima moto ili upatikanaji wa maji kwa magari yao uwe rahisi, na si kila moto unataka uzimwe na maji.Waziri wa Tamisemi mh Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
Amekukuna eeh[emoji4]
Ndio mkuu nachimbiwa swimingpool[emoji23][emoji23]Amekukuna eeh[emoji4]