Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

Kuna wanaomfanyia kiburi kirusi corona, huyu kirusi haangalii sura wala hasikilizi ngonjera, ukidhani utafaidika kwa kupata maambukizi mengi nchini,,, basi fikiria tena,,
Waziri wa uk amepata corona
Waziri wa ujerumani amepata corona.


Familia yako ;- wewe mwenyewe, mkeo, mtoto/watoto, baba na mama yako, na ndugu zako watapata corona,,,,

Endelea na kiburi chako na mikakati yako miovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unaongea sana. As if kurun a country of 60m people, some the caliber of you. Ni Rahisi. Tumia akili yako hata once in your Life.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa tabia za pepo zinapoelekea kukatiza equator, siyo rahisi sana kuvamia Tz, labda zitokee kusini mwa Afrika, lakini hao wa kaskazini mwa equator watazuiwa na nguvu ya uelekeo wa pepo maeneo hayo na wakitokea kenya watageuza kuelekea Uganda na Ethiopia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wazungu kule waliosema Mwezi huu lile janga lao litahamia kwetu walikua na maana gani?
Na tusipolipata hilo Janga kama walivyotabiri, hawawezi kulazimisha hata kwa kutuletea wao kwa njia zao ili ionekane kua hawakukosea kqwenye utabiri wao??
Kwanini watulazimishe na wakati mipaka ipo wazi?
 
We would be contacting symptomatic individuals and quickly isolating them. We would be tracing their contacts and testing them too. We would be using phone apps and online registries to support the tracing, testing, and isolation processes.

We would be screening the public for symptoms in bus and train stations, airports, and other public places. We would be wearing face masks in public, and be using hand sanitizers relentlessly.

Our goal would be to identify and isolate potential Covid-19 cases as early and quickly as possible through standard public health measures that should have been used from the start but were not. We would be doing, in short, what the Asian countries have been doing to control the epidemic.
 
We should also pray to God for forgiveness of our sins who knows this might be the end of humanity. .
 
Kila anaposimama Waziri wa Afya wa Kenya kutoa takwimu na kutoa taarifa za Corona unahisi kabisa nchi hiyo iko katika mapambano. Kule hawa aina ya akina Gwajima hawasikiki kabisa maana ni kama vile serikali yao haitaki masikhara wala mizaha ya aina yoyote ile.

Hapa nyumbani mambo ni tofauti kidogo; mara utasikia mkuu wa mkoa fulani kaongea hiki mara Godbless Lema kapinga kile.

Wakati mwingine Waziri wa afya (siyo yule wa Zanzibar) akisimama kuongea ni kama vile hana mamlaka kamili juu ya jambo hili. No seriousness.

Watanzania tuache siasa na ufundi wa kuongea hii ni VITA.

Chukua tahadhari, jikinge mwenyewe mkinge na mwenzio.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kutoka nchini Kenya gazeti la Taifa Leo limeripoti kwamba, Serikali ya nchi hiyo imeamrisha Wakenya wote kuvaa Barakoa (Mask) kila wanapokwenda na katika sehemu za umma ikiwemo ofisini, dukani, magari ya umma na ya binafsi huku wakisisitiza kwamba watakaokaidi agizo hilo watatozwa faini ya shilingi 20,000 au kifungo cha miezi sita gerezeni.

Wakati Covid 19 imepiga hodi nchini Tanzania na wananchi wakaanza kuchukua tahadhari ya kujikinga na maambukizi, ikiwa pamoja na kuvaa barakoa (Mask) kila mahala waendapo na maofisini, Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Udhibiti na Ufuatiliaji wa Magojwa ya Mlipuko, alitoa ufafanuzi kuhusu kuvaa barakoa (Mask), alisema huwezi kuvaa Mask mpaka uwe tayari una maambukizi.

Wakenya wameambiwa wavae kila waendapo na kwenye sehemu za umma hadi kwenye magari binafsi kujikinga na Coronavirus, huku mkurugenzi anasema mpaka upate maambukizi kwanza.

Kwa pande mbili hizi, wataalamu wa afya hapa bado sijawaelewa kuhusu Mask, ni wakati gani hasa wa kuvaa ili kujikinga na Coronavirus?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…