KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Tokwibhona ntondo.Chuuuu! Wakukaya bhadoho masala na malofindo gabho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tokwibhona ntondo.Chuuuu! Wakukaya bhadoho masala na malofindo gabho
Tokwibhona ntondo.
Wabheja goko.Tokwibhona ntondo.
Hahahaha, hakuna namna
NaamDalili ziko wazi kabisa.
Waziri ameeleza kile anachokijua.....Hawa kuna kitu wanatuficha hasa kwenye takwimu za walioambukizwa huu ugonjwa nchini. Ngoja ngoma isambae watafichua wenyewe.
Makao Makuu ya Roman Catholic yapo huko huko karibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jifariji
Kwani Italy hawana Mungu mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kibao kila kona.....
Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona.
--
ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI)
Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli zinazoweza kupelekea hofu, unyanyapaa na mashaka miongoni mwa wananchi.
Tunaomba pia ibada ifanyike muda mfupi, pia wekeni utaratibu wa kupunguza msongamano wa waumini wakati wa kuingia na kutoka katika nyumba za ibada.
Nimpongeza mkuu wa mkoa wa Pwani (Everist Ndikilo) kwa kuzuia kongamano la dini lililopangwa kufanywa na madhehebu ya kidini na kuhusishwa watu 3,000 wanaotoka nchi nzima.
Ugonjwa tumeletewa kutoka nje, hivi sasa takwimu za jana, juzi na wiki iliyopita tumeanza kuambukizana wenyewe kwa wenyewe. Ili viongozi wangu wa dini naomba niliweke wazi its no longer imported cases, tumeanza local transmission.
Ndani ya siku chache tutaingia katika community transmission. Maana yake tutapata mgonjwa ambaye hajui ugonjwa ameupata wapi? Sasa hivi amekuja mtu anamuambikiza fulani ndio maana tunafanya contact (muingiliano) kujua.
Lazima niwaambia ukweli nisiwafiche soon (karibuni), tutaingia kwenye community transmission. Bado tunatakiwa kuchukua tahadhari na kuongeza juhudi za kukabiliana na ugonjwa huu
Rais amesema hatuwezi kufunga kazi, kazi lazima tufanye lakini tuweze kudumisha kutokaribiana baina yetu. Hata Baba Askofu unaweza kufanya 'Video Conference' ukiwa na jambo na waumini
Tafiti zinaonesha virusi vya corona pia vinaambukizwa kwa njia ya hewa hivyo baada siku chache Serikali itatoa mwongozo ikiwa ni pamoja na kumtaka kila mtu anapotoka nyumbani awe amevaa barakoa ili kupunguza kasi ya mambukizi.
Mwanzoni kulikuwa na hisia kwamba Afrika hatuwezi kuumwa ugonjwa huu lakini leo kwa mujibu wa takwimu za Africa CDC, tuna wagonjwa takribani 10,000 na vifo vimefikia takribani 500
WHO ilitukadiria kufikia katikati ya Aprili tutakuwa na wagojwa 1000 nchini na katikati ya Mei tutakuwa na wagonjwa 10,000, kufikia sasa tumeruka kiunzi hicho kwa sababu hatuna wagonjwa wengi tunapaswa kumshukuru Mungu
Tunashauri wananchi tujiulize, je ni lazima tusafiri kutoka mijini kwenda vijijini wakati huu wa maambukizi ya corona? Tutafakari tusije tukawapelekea wazee wetu, wazazi wetu, na walezi wetu hivi virusi vya corona.
No, they are affected but they have strong immunity to resist the disease. Hizo ndio zilikuwa speculation zao. By the way, ngoja tuone itakuwaje!
Hapo wanaanza kutengeneza mazingira ya kutangaza idadi yenyewe na siyo zile ngonjera
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Mkaidi alisema hapa corona itashindwa, Mungu ataendelea kutulinda, so tusitishane bhana..
Unataka kuwapelekea korona kijijini acha hizoKadri hizi habari zinavotoka naanza kuziona dalili mbaya najiona kabisa muda mfupi ujao nabeba kila kilicho cha muhimu narudi zangu kijijini hadi pale hill janga litakapokuwa limepita. Allah tuepushe
Huu ujinga ndio mnaoutegemea kuwalaza akili watu.Ukitaka kujua kama wanaficha au wanasema ukweli, ebu fanya kautafiti kadogo mtaani kwako. Wameugua wangapi hapo? Wamekufa wangapi hapo? Kama hawapo mtaani kwako wa mtaa wa nani? Ufipa?