Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania



Tuchukulie wewe ndio umeletewa huyo mgonjwa wa type 2 diabetes sukari imepanda amewahishwa kutokana na pathophyisology unaenda nae vipi kitu cha kwanza tu kutokana na hali yake given the handover note and previous medication.
 
Hakuna anayekataa kua Mfamasia amesomea dawa. Daktari amesomea Magonjwa na namna ya kuyatibu. Mfamasia yeye akae dirishani asubirie cheti cha daktari.
Wenyewe wanasema hata hizo prescriptions mnazoandika ni majanga tu hasa mnapoandika dawa mchanganyiko, wewe tambua tu uelewa wao upo kwa kiwango cha juu zaidi kwenye eneo hilo.......na wapo sahihi kusimamia taaluma yao kama ambavyo na wewe hutarajii kuwaona pharmacist wakitibu wagonjwa mahospitalini ingawa na wenyewe wanayo knowledge hiyo kwa kiwango fulani.
 
Nani kajiita Daktari kijana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe ndo unataka uwe mfamasiaaa ushinde Famasii ukidispense na kusikiliza wagonjw eti kisa umesoma MD mbona unapuyangaaa kakaa.. Huwezi kuwa mfamasia unatakaa kudeal na dawa rudi shuleeeee hakuna shortcut otherwise Andika vipimo...andika dawaa tulizaaa wengeeee kama umeandika Ujingaaa nitakutana nao niufutilie mbalii lengo Mgonjwaa aponeee....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo DMO kuwa dr ndo unaona ndo mmemaliza kila kitu yani Unaweza kwenda department yototee bhasi Mbona hamuingii maabara au hamjui kupima blood group??? Kupima malaria na ukimwi.. pylori test ni kuangalia kwa macho tu kijanaa Course ya week moja na microbiology umesoma mwaka mzimaaa.. Kaka nenda na radiology kulaa kwa huwezi kusoma xray...
 
Sasa "Professor" hiyo Pathophysiology tunasoma tena ndo msingi wa Mechanism of Action (MOA) ya dawa yoyote ile utakayojifunza ukiwa chuoni.

Hizo nimezitaja zile basics tu ambazo Mfamasia na Daktari wana share katika kujenga msingi wa ufahamu wa Tiba kwa binadamu.

Baaada ya mwaka wa kwanza kila kada inaanza ku specialise katika taaluma yake. Madaktari watajikita katika Diagnosis na wafamasia watadili na madawa.

Hivi somo la Clinical Pharmacy ambalo linahitaji mpaka wanafunzi wa Pharmacy wafanye rotation wodini enzi zenu wakati mnasoma "Professor" halikuwepo??

Vipi kuhusu Principle of therapeutic and Pharmacotherapy hayo masomo haujawahi kuyasikia?? Humo kote kumejaa hiyo Pathophysiology ya kila system ya mwili na jinsi ya ku approach matibabu.

Sijawahi kuwadharau MDs sababu naheshimu kada na majukumu yao ambayo mimi siwezi kuyafanya ila na wao wanahitaji kuheshimu kada nyingine.. Stereotype ya kuamini Daktari anajua kila kitu katika afya ishapitwa na wakati.
 
Hunataarifa kamili kuhusu wafamasia bora ukae kimya .Usishiriki kweny kupotosha umma
 
Hiyo hoja hakuna inayomfanya superior! Kila taaluma ni muhimu na hizo taaluma zinategemeana! Hakuna anayeweza kusimama bila mwingine.
Whatever the case , medicine Dr ndo commanding officer.... Pharmacy ana eneo lake, medical Lab ana eneo lake , nurse ana eneo lake , radiation ana eneo lake Ila wote hao wamemzunguka kumsaidia daktari..na sio kwamba daktar anawasaidia wao ( ni kweli wanafanya kazi Kwa kutegemeana Ila daktari apewe heshima yake tafadhali)
 

Umeanza vizuri ila ulivyofika kwenye Kazi za mfamasia ukakosea kabisa ukaanza kuandika utopolo tu. Anyway, Acheni kuingilia maamuzi ya waziri na hizo porojo zenu.

Wewe ni profesa mandazi tu. Eti prof Koboo Koboko my Diiiick.
Acheni kuchafua taaluma za watu.

Hakuna kitu kama hicho ulichokiandika. Wewe na form four yako unahisi hutawezi kukutambua.
 
Unataka tuanze kupimanaaa kwa maswali???[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Well kama ni health management kwa upana wake kwangu hakuna shida kama ni clinal issues kwa baadhi ya magonjwa sina shida pia but not all the medical conditions.

Hilo ni swali ninla clinical na wewe unasema unafahamu dawa za kuwapa wagonjwa. Hiyo ni
handover note mimi nailewa kwa sababu report yenyewe huyo kilaza nilimuandikia mimi.

Sasa ndio nataka kujua ingekuwa wewe ungeanza na nini kipimo au dawa na kwanini; vinginevyo huyo mgonjwa ukichelewa anaweza ondoka kwa handover notes hiyo.
 

Kuuliza au kuwa na uelewa mdogo sio kosa kosa ni kujifanya unajua wakati hata hujui inamaana hata umeshindwa kuuliza mfamasia anasoma mambo gani kuanzia first year hadi fourth year? Unaidhalilisha hiyo kada uliyosomea kama kweli ww ni MD
 
Nimekuambia wanayojifunza ni basics tu kwa ajili ya therapeutics na sito kubaini magonjwa. Kozi 99% imejikita kwenye utengenezaji na uhifadhi wa dawa. Kujipa kazi ya biashara ya dawa ni Tanzania tuu kutafuta ulaji ila kwa wenzetu haya hayapo.
Therapeutics imekamilika.

Kajisomee kitabu cha Applied Therapeutics, Koda-Kimble uone jinsi Mfamasia anavyojifunza kutengeneza dawa na kuhifadhi kama unavyodai
 

Sasa kama mfamasia ndiye anayejua zaidi elimu ya dawa na umekiri hilo sasa unadhan hatoweza kujua pathophysiology .Unadhani hio dawa imezalishwa basi kuelewa ugonjwa ? Lazima uhujue kwanza ugonjwa ndipo uangalia possible solution za kucombat hilo tatzo.

Nenda hata kwenye drug discovery angalia pharmaceutical chemistry utajua atoms fulani ziwepo iliziwezeshe hii dawa ipite sehem fulan iwez kufany kaz inayotakiwa.Lazima ujue nature ya mdudu mfano membran yake content ni ipi ilidawa ipenye au anakitu gan kinawez sabab resistanc au kuongeza spectrum.
 
Therapeutics imekamilika.

Kajisomee kitabu cha Applied Therapeutics, Koda-Kimble uone jinsi Mfamasia anavyojifunza kutengeneza dawa na kuhifadhi kama unavyodai
Mimi nadhani labda "Professor" anatumia curriculum ya South Africa. Inabidi afanye mchakato wa kupitia upya mtaala wa Famasi wa Tanzania kisha ajiridhishe na hoja zake kuhusu majukumu ya Mfamasia katika Hospital setting hapa Tanzania
 
Vipimo
Electrolytes conce.. FBP
Glucose level
Urinalysis check Ketone..Protein

Confirm ketoacidosis start management of ketoacidosis chap while administer soluble insulin..

Kwenye emergency deparent hizi protocal zimebandikwa kabisaa hadi mambo ya CPR yapo ila sasa huwezi fanya yote haya bila Majibu la Lab ambayo kiufupi Dr ndo anaandika mtu afanyiwe so Hata wew Dr huwezi fanya chochote bila majibu ya maabara maana kumanage vital sign tu haitoshi... mwisho wa siku mfamasia unajua vingi ila sema ndo sio vimbelembeleee... Ila saaa dr anaonahata Famasi anatakiwa akae yeyeee... kwanini hamtaki kusafisha Vidondaa na kubadilisha mashuka??? Kwani vile hmuweziii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mimi nadhani labda "Professor" anatumia curriculum ya South Africa. Inabidi afanye mchakato wa kupitia upya mtaala wa Famasi wa Tanzania kisha ajiridhishe na hoja zake kuhusu majukumu ya Mfamasia katika Hospital setting hapa Tanzania
Hapo ndio kosa lake lilipo, anatoa hoja bila kufanya utafiti wa eneo husika. South na Tz mambo ni tofauti kabisa.

Kila nchi ina muongozo na sheria zake za kuzifuata kwa kila jambo lake
 
Kuuliza au kuwa na uelewa mdogo sio kosa kosa ni kujifanya unajua wakati hata hujui inamaana hata umeshindwa kuuliza mfamasia anasoma mambo gani kuanzia first year hadi fourth year? Unaidhalilisha hiyo kada uliyosomea kama kweli ww ni MD

Kwa msaada hizi ni baadhi ya masomo anayosoma mfamasia akiwa chuo
1.Human Anatomy
2.Physiology
3.Biochemistry
4.Basic pharmacology ambayo MD husoma
4.clinical pharmacology
5.clinical pharmacy & clerkship
6.Pharmaceutical microbiology
7.Pharmacognosy
8.Pharmaceutical/medicinal chemistry
9.Immunology
10.Pharmacy practice
11.Basic microbiology & molecular biolody
12. Principe of community health and epidemology
13.Pharmaceutics
14.pharmacy management and pharmacoeconomics
15.Geberal and systemic pathology
16. Biostatistics and research methodology
17.Biotechnology
18. Principe of therapeutics
19.Toxicology and forensic pharmacy
Nk....

Hayo ni baadhi ya masomo anayosoma mfamasia ndani ya kipindi chake cha masomo kupitia summary hiyo rudia tena kuandika ili andiko lako liwe na weledi
 
Acha upuuzi kijana kama hujui kitu nyamaza, kwa taarifa yako NHIF kadri unavyoandika dawa nyingi ndio unajiweka kwenye hatar ya kukatwa pesa zaidi.

Kada ya afya Kuna watu hawatak kuukubali uhalisia ila ukweli utabaki pale pale na ndio maana kuna wengine wanasoma miaka 6 na wengine mi4 kamwe hamtofanana.
 
DKA is important lakini utakaa tu unasubiri results bila ya ku stabilise hali ya mgonjwa? Hatua zipi unadhani zinafaa za awali.

Besides inaweza isiwe DKA (hiyo ni precautionary test tu) ana dalili zingine pia ambazo zinafanana na DKA ambazo Dr anadhani ndio tatizo; clue hizo umewekewa either way stabilisation ya kisukari ndio priority yako matibabu yepi ungependekeza au test gani zingine za haraka ili uanze immediate intervention?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…