Waziri unajisifia kuhusu ajira za Walimu wakati nafasi zipo 14,000 kati ya 200,000 walioomba, huoni aibu Waziri Simbachawene?

Field Marshall 11

Senior Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
130
Reaction score
162
Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?

Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao waliobaki wataendesha bodaboda au vipi Mr. Simbachawene? Na siyo hao tu jobless bado kuna wengine wengi ambao hawajaona umuhimu wa ku-apply ingawa wana sifa.

Hao Walimu wote wamefuzu na wana sifa zote za kuajiriwa, leo waziri unatuambia unawachuja, utawachuja kwa kutumia criteria zipi? Hawa hawakuwa kazini, wengi ni fresh from college kwa miaka mitatu hawakupata kazi, leo unaongelea kuwachuja? Unatafuta sifa zisizo za msingi.

Ongezeni ajira, la sivyo fungeni vyuo vyote vikiwemo vya Walimu maana mmeelemewa na idadi kubwa isiyo na ajira, ili tujue nchi tunayo vibarua na wamachinga (Peasants and petty traders).

Kuwachuja hapo si sawa toeni ajira kwa wote, hao wote wamefuzu vyuoni au unaanza kufanya Nepotism? Kama mnaona wamekaa sana bila kufanya kazi, basi ni jukumu la serikali kuwapatia training.

Kada hii ya Ualimu pamoja na ya Afya, Serikali ndiyo muajiri mkubwa na siyo mwajiri mwingine yeyote, na kujiajiri siyo rahisi. Ni kama nafasi zenu za uwaziri kuambiwa mjiajiri wenyewe.....MTAWEZA?

Hatuna a sound Middle class ambayo itaweza kuwa-absorb wafanyakazi hao, unless serikali ijitahidi kusaidia watu wake. Bado sana kwa serikali hii, kila mahali shida, matibabu shida, kutoa maiti morgue shida kulipa mamillioni.

Poleni watanzania wenzangu, tuwawajibishe serikali hii kwenye sanduku la kura, haiwezekani TRA ijigambe kuwa inakusanya zaidi ya TSHS BILL 240 kila mwezi halafu ishindwe kutoa angalau bil 100 Kuwapa watanzania ajira na kuwafanya wawe na afya bora.
 
Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za waalimu wakati waombaji wapo waalimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?

Hii kada mwajiri mkubwa ni serikali, pamoja na wizara ya afya, hao waliobaki wataendesha boda boda au vipi Mr. Simbachawene? Na siyo hao tu jobless bado kuna wengine wengi ambao hawajaona umuhimu wa ku-apply ingawa wana sifa.

Hao waalimu wote wamefuzu na wana sifa zote za kuajiriwa, leo waziri unatuambia unawachuja, utawachuja kwa kutumia criteria zipi? Hawa hawakuwa kazini, wengi ni fresh from college kwa miaka mitatu hawakupata kazi, leo unaongelea kuwachuja? Unatafuta sifa zisizo za msingi.

Ongezeni ajira, la sivyo fungeni vyuo vyote vikiwemo vya waalimu maana mmeelemewa na idadi kubwa isiyo na ajira, ili tujue nchi tunayo vibarua na wamachinga (Peasants and petty traders).

Kuwachuja hapo si sawa toeni ajira kwa wote, hao wote wamefuzu vyuoni au unaanza kufanya Nepotism? Kama mnaona wamekaa sana bila kufanya kazi, basi ni jukumu la serikali kuwapatia training.

Kada hii ya ualimu pamoja na ya Afya, serikali ndiyo muajiri mkubwa na siyo mwajiri mwingine yeyote, na kujiajiri siyo rahisi. Ni kama nafasi zenu za uwaziri kuambiwa mjiajiri wenyewe.....MTAWEZA?

Nchi gani duniani inaajiri kila mtu?
 
Toka lini fisi wakawa na aibu?
 
Kozi kama za ualimu sasa zifutwe, ili msome mambo mengine!

Online studies nazo zinataanza kupunguza walimu!
 
Nchi gani duniani inaajiri kila mtu?
Wewe unaishi sayari gani? Nchi zilizoendelea kama huna kazi unalipwa unemployment benefits. Usipokuwa na kazi si utakufa kaka? Wengi hawana mashamba kama yako huko Usukumani. Kwa taarifa yako unemployment ni asilimia 5-7, kwetu ni asilimia 83. Unaongea kitu gani?
 
Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za waalimu wakati waombaji wapo waalimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?

Hii kada mwajiri mkubwa ni serikali, pamoja na wizara ya afya, hao waliobaki wataendesha boda boda au vipi Mr. Simbachawene? Na siyo hao tu jobless bado kuna wengine wengi ambao hawajaona umuhimu wa ku-apply ingawa wana sifa.

Hao waalimu wote wamefuzu na wana sifa zote za kuajiriwa, leo waziri unatuambia unawachuja, utawachuja kwa kutumia criteria zipi? Hawa hawakuwa kazini, wengi ni fresh from college kwa miaka mitatu hawakupata kazi, leo unaongelea kuwachuja? Unatafuta sifa zisizo za msingi.

Ongezeni ajira, la sivyo fungeni vyuo vyote vikiwemo vya waalimu maana mmeelemewa na idadi kubwa isiyo na ajira, ili tujue nchi tunayo vibarua na wamachinga (Peasants and petty traders).

Kuwachuja hapo si sawa toeni ajira kwa wote, hao wote wamefuzu vyuoni au unaanza kufanya Nepotism? Kama mnaona wamekaa sana bila kufanya kazi, basi ni jukumu la serikali kuwapatia training.

Kada hii ya ualimu pamoja na ya Afya, serikali ndiyo muajiri mkubwa na siyo mwajiri mwingine yeyote, na kujiajiri siyo rahisi. Ni kama nafasi zenu za uwaziri kuambiwa mjiajiri wenyewe.....MTAWEZA?

Hatuna a sound Middle class ambayo itaweza kuwa-absorb wafanyakazi hao, unless serikali ijitahidi kusaidia watu wake. Bado sana kwa serikali hii, kila mahali shida, matibabu shida, kutoa maiti morgue shida kulipa mamillioni.

Poleni watanzania wenzangu, tuwawajibishe serikali hii kwenye sanduku la kura, haiwezekani TRA ijigambe kuwa inakusanya zaidi ya TSHS BILL 240 kila mwezi halafu ishindwe kutoa angalau bil 100 Kuwapa watanzania ajira na kuwafanya wawe na afya bora.
hakuna ajira hapo zaidi ya siasa
 
Back
Top Bottom