realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Mi staki Jamani 😅😅😅 mbona huo ni uchokoziPole Sana mwalimu, next time jaribu tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi staki Jamani 😅😅😅 mbona huo ni uchokoziPole Sana mwalimu, next time jaribu tena.
Wewe jamaa ni mjingaUmeanika uwezo wako duni wa kufikiria.Field makalio.
Watanzania tunadeka sana aisee; hatujazoea ushindani;Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?
Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao waliobaki wataendesha bodaboda au vipi Mr. Simbachawene? Na siyo hao tu jobless bado kuna wengine wengi ambao hawajaona umuhimu wa ku-apply ingawa wana sifa.
Hao Walimu wote wamefuzu na wana sifa zote za kuajiriwa, leo waziri unatuambia unawachuja, utawachuja kwa kutumia criteria zipi? Hawa hawakuwa kazini, wengi ni fresh from college kwa miaka mitatu hawakupata kazi, leo unaongelea kuwachuja? Unatafuta sifa zisizo za msingi.
Ongezeni ajira, la sivyo fungeni vyuo vyote vikiwemo vya Walimu maana mmeelemewa na idadi kubwa isiyo na ajira, ili tujue nchi tunayo vibarua na wamachinga (Peasants and petty traders).
Kuwachuja hapo si sawa toeni ajira kwa wote, hao wote wamefuzu vyuoni au unaanza kufanya Nepotism? Kama mnaona wamekaa sana bila kufanya kazi, basi ni jukumu la serikali kuwapatia training.
Kada hii ya Ualimu pamoja na ya Afya, Serikali ndiyo muajiri mkubwa na siyo mwajiri mwingine yeyote, na kujiajiri siyo rahisi. Ni kama nafasi zenu za uwaziri kuambiwa mjiajiri wenyewe.....MTAWEZA?
Hatuna a sound Middle class ambayo itaweza kuwa-absorb wafanyakazi hao, unless serikali ijitahidi kusaidia watu wake. Bado sana kwa serikali hii, kila mahali shida, matibabu shida, kutoa maiti morgue shida kulipa mamillioni.
Poleni watanzania wenzangu, tuwawajibishe serikali hii kwenye sanduku la kura, haiwezekani TRA ijigambe kuwa inakusanya zaidi ya TSHS BILL 240 kila mwezi halafu ishindwe kutoa angalau bil 100 Kuwapa watanzania ajira na kuwafanya wawe na afya bora.
Acha uchochezi😆Mi staki Jamani 😅😅😅 mbona huo ni uchokozi
Pole sana mwalimu na hongera kujaribu kuomba ajira kada ya ualimu.Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?
Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao waliobaki wataendesha bodaboda au vipi Mr. Simbachawene? Na siyo hao tu jobless bado kuna wengine wengi ambao hawajaona umuhimu wa ku-apply ingawa wana sifa.
Hao Walimu wote wamefuzu na wana sifa zote za kuajiriwa, leo waziri unatuambia unawachuja, utawachuja kwa kutumia criteria zipi? Hawa hawakuwa kazini, wengi ni fresh from college kwa miaka mitatu hawakupata kazi, leo unaongelea kuwachuja? Unatafuta sifa zisizo za msingi.
Ongezeni ajira, la sivyo fungeni vyuo vyote vikiwemo vya Walimu maana mmeelemewa na idadi kubwa isiyo na ajira, ili tujue nchi tunayo vibarua na wamachinga (Peasants and petty traders).
Kuwachuja hapo si sawa toeni ajira kwa wote, hao wote wamefuzu vyuoni au unaanza kufanya Nepotism? Kama mnaona wamekaa sana bila kufanya kazi, basi ni jukumu la serikali kuwapatia training.
Kada hii ya Ualimu pamoja na ya Afya, Serikali ndiyo muajiri mkubwa na siyo mwajiri mwingine yeyote, na kujiajiri siyo rahisi. Ni kama nafasi zenu za uwaziri kuambiwa mjiajiri wenyewe.....MTAWEZA?
Hatuna a sound Middle class ambayo itaweza kuwa-absorb wafanyakazi hao, unless serikali ijitahidi kusaidia watu wake. Bado sana kwa serikali hii, kila mahali shida, matibabu shida, kutoa maiti morgue shida kulipa mamillioni.
Poleni watanzania wenzangu, tuwawajibishe serikali hii kwenye sanduku la kura, haiwezekani TRA ijigambe kuwa inakusanya zaidi ya TSHS BILL 240 kila mwezi halafu ishindwe kutoa angalau bil 100 Kuwapa watanzania ajira na kuwafanya wawe na afya bora.
Katika dhambi ujinga haupo.Wewe jamaa ni mjinga
Jpm nda aliharibu kila kitu. Miaka mitano hajaajiri kabisa. Jk aliweka utaratibu mzuri jpm akavurugaYaan watu wote 200,000 Wapewe Ajira unakusudia sio?
Yule kiumbe alivuruga kila jamboJpm nda aliharibu kila kitu. Miaka mitano hajaajiri kabisa. Jk aliweka utaratibu mzuri jpm akavuruga
Jielimishe vizuri kuhusu hiyo "employment benefits".Wewe unaishi sayari gani? Nchi zilizoendelea kama huna kazi unalipwa unemployment benefits. Usipokuwa na kazi si utakufa kaka? Wengi hawana mashamba kama yako huko Usukumani. Kwa taarifa yako unemployment ni asilimia 5-7, kwetu ni asilimia 83. Unaongea kitu gani?
Umesoma ualimu kwanini ukafanye kazi ya kilimo, wakati wapo waliosomea hiyo field ya kilimo? Mna mitazamo ya kijinga sana kutoka hangover ya ujamaa, Ndiyo maana karibia kila mtu nchi hii ni mmachinga. Jifunzeni nchi zingine, kwanini ukafanye kazi za kilimo wakati hujui. Kuna distribution of works ambayo wewe unaonekana huielewi. Mimi siyo mwalimu ila siwezi kutetea ujinga, wanafunzi waliofuzu wamejaa mitaani wanaendesha pikipiki halafu unaongea upuuzi eti ni kazi. Acha ulevi.Pole sana mwalimu na hongera kujaribu kuomba ajira kada ya ualimu.
Ndugu mwalimu, manung'uniko yako yenye hisia kali yamezingatiwa.
Serikali inaajiri watumishi wa kada mbalimbali kadiri ya mahitaji na upatikanaji wa fedha,
hata hivyo,
ikiwa hukufanikiwa awamu hii, usikate tamaa, jaribu tena awamu ijayo.
Infact,
unaweza kujishkiza kwenye kilimo kama hutojali gentleman wakati ukisubiri awamu nyingine ya ajira za walimu 🐒
Huelewi unachoongea, wewe unajua nini?Jielimishe vizuri kuhusu hiyo "employment benefits".
Wameomba asilimia 87 hawajapewa nafasi, sasa waombe nini tena? Tumia akili.Acha ulalamishi.Waambie waombe nafasi.
Well saidWaziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?
Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao waliobaki wataendesha bodaboda au vipi Mr. Simbachawene? Na siyo hao tu jobless bado kuna wengine wengi ambao hawajaona umuhimu wa ku-apply ingawa wana sifa.
Hao Walimu wote wamefuzu na wana sifa zote za kuajiriwa, leo waziri unatuambia unawachuja, utawachuja kwa kutumia criteria zipi? Hawa hawakuwa kazini, wengi ni fresh from college kwa miaka mitatu hawakupata kazi, leo unaongelea kuwachuja? Unatafuta sifa zisizo za msingi.
Ongezeni ajira, la sivyo fungeni vyuo vyote vikiwemo vya Walimu maana mmeelemewa na idadi kubwa isiyo na ajira, ili tujue nchi tunayo vibarua na wamachinga (Peasants and petty traders).
Kuwachuja hapo si sawa toeni ajira kwa wote, hao wote wamefuzu vyuoni au unaanza kufanya Nepotism? Kama mnaona wamekaa sana bila kufanya kazi, basi ni jukumu la serikali kuwapatia training.
Kada hii ya Ualimu pamoja na ya Afya, Serikali ndiyo muajiri mkubwa na siyo mwajiri mwingine yeyote, na kujiajiri siyo rahisi. Ni kama nafasi zenu za uwaziri kuambiwa mjiajiri wenyewe.....MTAWEZA?
Hatuna a sound Middle class ambayo itaweza kuwa-absorb wafanyakazi hao, unless serikali ijitahidi kusaidia watu wake. Bado sana kwa serikali hii, kila mahali shida, matibabu shida, kutoa maiti morgue shida kulipa mamillioni.
Poleni watanzania wenzangu, tuwawajibishe serikali hii kwenye sanduku la kura, haiwezekani TRA ijigambe kuwa inakusanya zaidi ya TSHS BILL 240 kila mwezi halafu ishindwe kutoa angalau bil 100 Kuwapa watanzania ajira na kuwafanya wawe na afya bora.
Nimekushauri. Ni juu yako kujielimisha zaidi au kuacha. Na jiulize kwanini wengi huwa wapendi kuichukua hiyo employment benefits?Huelewi unachoongea, wewe unajua nini?
Najua hutaki usaili ila lazima utafanya tuu kama hutaki bc kaa kwenu utulie.Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?
Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao waliobaki wataendesha bodaboda au vipi Mr. Simbachawene? Na siyo hao tu jobless bado kuna wengine wengi ambao hawajaona umuhimu wa ku-apply ingawa wana sifa.
Hao Walimu wote wamefuzu na wana sifa zote za kuajiriwa, leo waziri unatuambia unawachuja, utawachuja kwa kutumia criteria zipi? Hawa hawakuwa kazini, wengi ni fresh from college kwa miaka mitatu hawakupata kazi, leo unaongelea kuwachuja? Unatafuta sifa zisizo za msingi.
Ongezeni ajira, la sivyo fungeni vyuo vyote vikiwemo vya Walimu maana mmeelemewa na idadi kubwa isiyo na ajira, ili tujue nchi tunayo vibarua na wamachinga (Peasants and petty traders).
Kuwachuja hapo si sawa toeni ajira kwa wote, hao wote wamefuzu vyuoni au unaanza kufanya Nepotism? Kama mnaona wamekaa sana bila kufanya kazi, basi ni jukumu la serikali kuwapatia training.
Kada hii ya Ualimu pamoja na ya Afya, Serikali ndiyo muajiri mkubwa na siyo mwajiri mwingine yeyote, na kujiajiri siyo rahisi. Ni kama nafasi zenu za uwaziri kuambiwa mjiajiri wenyewe.....MTAWEZA?
Hatuna a sound Middle class ambayo itaweza kuwa-absorb wafanyakazi hao, unless serikali ijitahidi kusaidia watu wake. Bado sana kwa serikali hii, kila mahali shida, matibabu shida, kutoa maiti morgue shida kulipa mamillioni.
Poleni watanzania wenzangu, tuwawajibishe serikali hii kwenye sanduku la kura, haiwezekani TRA ijigambe kuwa inakusanya zaidi ya TSHS BILL 240 kila mwezi halafu ishindwe kutoa angalau bil 100 Kuwapa watanzania ajira na kuwafanya wawe na afya bora.
Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kumlaumu JPMJpm nda aliharibu kila kitu. Miaka mitano hajaajiri kabisa. Jk aliweka utaratibu mzuri jpm akavuruga
😂 Jamaa awe mpole tuu asubiri tena mpaka 2030 ajira mpya za ualimu zikitangazwa ajaribu kuomba tena mana awamu hii ameshalamba mchanga 😂Pole sana mwalimu na hongera kujaribu kuomba ajira kada ya ualimu.
Ndugu mwalimu, manung'uniko yako yenye hisia kali yamezingatiwa.
Serikali inaajiri watumishi wa kada mbalimbali kadiri ya mahitaji na upatikanaji wa fedha,
hata hivyo,
ikiwa hukufanikiwa awamu hii, usikate tamaa, jaribu tena awamu ijayo.
Infact,
unaweza kujishkiza kwenye kilimo kama hutojali gentleman wakati ukisubiri awamu nyingine ya ajira za walimu 🐒
Wewe ni mwalimu bhana Acha fix.Mimi siyo mwalimu, najaribu kuwasaidia wasioweza kujisaidia kama wewe. Pole wewe