Waziri unajisifia kuhusu ajira za Walimu wakati nafasi zipo 14,000 kati ya 200,000 walioomba, huoni aibu Waziri Simbachawene?

Watanzania tunadeka sana aisee; hatujazoea ushindani;

Kwenye private sector nafasi inatangazwa 1 na wanaomba watu 2000 na wala hakuna anayelalamika.

Acha kulalamika mzee; omba kazi
 
Vijijin kuna uhaba wa walimu mkubwa sana, viongozi wa afrika wanaumwa ugonjwa wa "Egoism"
 
Pole sana mwalimu na hongera kujaribu kuomba ajira kada ya ualimu.
Ndugu mwalimu, manung'uniko yako yenye hisia kali yamezingatiwa.

Serikali inaajiri watumishi wa kada mbalimbali kadiri ya mahitaji na upatikanaji wa fedha,

hata hivyo,
ikiwa hukufanikiwa awamu hii, usikate tamaa, jaribu tena awamu ijayo.

Infact,
unaweza kujishkiza kwenye kilimo kama hutojali gentleman wakati ukisubiri awamu nyingine ya ajira za walimu πŸ’
 
Changamoto ya ajira ni kubwa karibu nchi zote maskini hasa hizo zisizo za viwanda!
Hata tungelalamika kiasi gani ni ukweli usiopingika kuwa Uwezo wa kuajiri wahitimu wote ni mdogo!
 
Jielimishe vizuri kuhusu hiyo "employment benefits".
 
Umesoma ualimu kwanini ukafanye kazi ya kilimo, wakati wapo waliosomea hiyo field ya kilimo? Mna mitazamo ya kijinga sana kutoka hangover ya ujamaa, Ndiyo maana karibia kila mtu nchi hii ni mmachinga. Jifunzeni nchi zingine, kwanini ukafanye kazi za kilimo wakati hujui. Kuna distribution of works ambayo wewe unaonekana huielewi. Mimi siyo mwalimu ila siwezi kutetea ujinga, wanafunzi waliofuzu wamejaa mitaani wanaendesha pikipiki halafu unaongea upuuzi eti ni kazi. Acha ulevi.
 
Well said
 
Najua hutaki usaili ila lazima utafanya tuu kama hutaki bc kaa kwenu utulie.

Nafasi ni hizo 14k iwe kwa usaili au bila usaili bado nafasi zitakuwa hizohizo kwahy acha kulalamika ovyo.
 
πŸ˜‚ Jamaa awe mpole tuu asubiri tena mpaka 2030 ajira mpya za ualimu zikitangazwa ajaribu kuomba tena mana awamu hii ameshalamba mchanga πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…