Waziri unajisifia kuhusu ajira za Walimu wakati nafasi zipo 14,000 kati ya 200,000 walioomba, huoni aibu Waziri Simbachawene?

Aibu aone yule Rais wenu wa wanyonge
 
Nimekushauri. Ni juu yako kujielimisha zaidi au kuacha. Na jiulize kwanini wengi huwa wapendi kuichukua hiyo employment benefits?
Wewe kweli ni boga kichwani, hakuna kitu kinachoitwa "Employment benefits" nimezungumzia "unemployment benefits" yaani wanalipwa watu wasio na ajira kwa kipindi fulani, kawaida kwa miezi mitatu na kuendelea, hadi mwaka mmoja au zaidi, na wakati huo kuna agencies zinakutafutia kazi, ukipata kazi hizo benefits zinakatika. Sasa wewe unasema wengi hawapendi kuchukua employment benefits? Unaelewa unachoongea au unatapika mavi? Siyo employment benefits wewe kimavi, kama unamaanisha unemployment benefits utakataaje kuchukua? Utaishije nchi hizi? Siyo Tanzania wala Africa au Asia, ni zile nchi zinazojielewa. Ebu nyamaza maana umeshachekwa vya kutosha na wanaolewa.
 
Kwahiyo wanaotafuta kazi kwa mara ya kwanza wakitoka vyuo nao wanapata Unemployment Benefits?
 
Hizi ajira zipo kisiasa zaidi,yaan ingekuwa ni mpenz yao wasingezitoa kabisa

Afu walivyowajinga eti wanawaita wote kwenye interview,hyo gharama wanayotumia wangeweza kuongeza hata ajira 500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…