Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

...Marehemu Baba wa Taifa Nyerere, alikuwa na Nyumba Marekani ??...[emoji57][emoji848]
Kupanga ni kuchagua

Jakaya kuchagua Nyumba Newyork na Nyerere alichagua kujenga heshima


Akina Madaraka wamerithi Heshima ya kuwa watoto wa Baba wa Taifa na kina Ridh wamerithi Ubunge kama Baba, Unaibu kama Baba, na mwakani Mungu akipenda watarithi Uwaziri na pengine 'panapo majaaliwa ' watarithi Uenyekiti wa Ccm Taifa kabla ya kurithi majumba ya Newyork mbele ya safari

Akina Madaraka wao si kila kwny sherehe za kuzima Mwenge wanaalikwa kumuenzi. muasisi wakiwa na Sare za mashati ya vitenge uwanja mzima
 
Ushangaa yeye kuwa na nyumba US wakati 95 yeye na rafiki walikuwa na uwezo wa kukodi ndege ya kwenda kuomba ruhusa ya kugombea urais
Tena Muasisi akiwa bado hai

yaani lile kolabo la JK, EL na Rosta. itachukua karne moja kupata vile vichwa …sasa hivi ukipepesa macho nawaona kina Mwigulu, sijui Kigwangala sijui Nape…wepesi sana
 
Hata Mobutu alikuwa na nyumba Paris,Côte d'Azur .Tatizo Kikwete alijificha enzi za Magufuli hatukuona mapicha kama haya.
Yule jamaa alikuwa mpaka na ofisi paris wakati haitumii, siasa tamu sana, mimi piga uwa lazima nije nile asali ya hii nchi

Hapo JK unakuta analipa kila mwezi mishahara ya watumishi wa house keeping !!!
 
Yule jamaa alikuwa mpaka na ofisi paris wakati haitumii, siasa tamu sana, mimi piga uwa lazima nije nile asali ya hii nchi

Hapo JK unakuta analipa kila mwezi mishahara ya watumishi wa house keeping !!!
Mishahara ya Watumishi wa Rais .mstaafu inalipwa kupitia kodi ya vyanzo mbalimbali ikiwemo ya yule Mama Mlima Tumbaku Kule Tabora

ndio Sayansi ya Siasa na uzuri wake hicho kipengele hakigusiki hata ikija Katiba mpya
 
Tena Muasisi akiwa bado hai

yaani kile kolabo la JK, EL na Rosta. itachukua karne moja kupata vile vichwa …sasa hivi ukipepesa macho nawaona kina Mwigulu, sijui Kigwangala sijui Nape…wepesi sana
Watu wanavitender uchwara mtaani huku wanasumbua kwa kujenga ma appartmnts ndio itakuwa rais wa nchi tena nchi yenyewe tz kumiliki nyumba US 😄
 
Swali kuu ni kwamba aliinunua TSH ngapi??.........na pesa aliitoa wapi?.....tuulizane Tu kirafiki kama wanavyouliza TRA Kodi ya Kwanza ulianza kulipa lini? Na je Una Mali ya kiasi gani? Baadaya kuingia kwenye 18 zao
Darasani Mwalimu ana uwezo wa kuhoji Wanafunzi na wanafunzi hawana uwezo wa kumhoji Mwalimu japo wote wana fursa sawa ya kuulizana maswali na kupatiana majawabu
 

Kwa niaba ya wabongo Im sorry jk Tanzania inakumiss. Enzi za bibi cheka watu walikuita babu cheka hawakujua KUWA nyakati zinakuja na kusepa. Walivunga KUWA unapenda Sana Bata na kiki kama makonda za wasafi kuwafata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…