Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Magufuli amka uje uliokua unawaaminia vijana wako Leo wanalishana na Mzee ulietamani kumnyoosha
Mwaka ambao Hayati kaingia rasmi kwny Siasa za majukwaani kamkuta Mjukuu wa Akida tayari kamtoa kamasi Muasisi kwny kinyang'anyiro cha kutafuta Mgombea Urais kuanzia Kamati kuu, Halmshauri kuu na hata Mkutano mkuu

Waswahili wanasema '…kuiba ngoma ya kijiji sio kazi ngumu, …ugumu wake ni wapi utaitumia kwa amani? '
 
Serikali ya CCM imesheheni WAPIGA DILI watupu, kwa koti la uzalendo
Mbona mbowe Ana nyumba dubai,afrika kusini,na hata marekani inasemekana Ana nyumba
Acheni kasumba kumiliki nyumba nje ni jambo la kawaida kama mtu uko kwenye mfumo na uwezo wa kifedha

Ova
 
Mbona mbowe Ana nyumba dubai,afrika kusini,na hata marekani inasemekana Ana nyumba
Acheni kasumba kumiliki nyumba nje ni jambo la kawaida kama mtu uko kwenye mfumo na uwezo wa kifedha

Ova
Mbowe amewahi kuwa Rais wa nchi hii wewe phunga? Amewahi kuwa na mamlaka ya kukusanya kodi zetu na kuzipangia matumizi atakavyo?

Mbowe inajulikana wazi hadi kwa mtoto mdogo kwamba ni mfanyabiashara mkubwa, ni bilionea yule. Kikwete anafanya biashara gani? Kwanini anafanya hizo biashara zake (kama zipo) kwa KUJIFICHA FICHA?
 
Miaka kadhaa iliyopita, hakuna mtu aliyekuwa anatamani kuonekana na JK wa pili.

Unaweza kudhani walikatazwa nà yule mzee, wote walikuwa wakiziponda tawala zilizopita, sana sana utawala wa JK. Huyu mzee alikuwa mvumilivu sana.
Ilibidi awe mvumilivu kwani matusi yote aliyokuwa anatukanwa yalikuwa ya kweli!! Aliuza nchi kwa wamanga wa HOME SHOPPING CENTRE!
 
Back
Top Bottom