Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Nimezitama hizo picha na kugundua haya:

1. Lengo sio kufanya mazoezi, lengo hapo ni kupiga picha. It is a staged photo.
2. Muonekano unaonyesha kuwa sio watu wa mazoezi.
3. Body language inaonyesha hawana ule muunganiko wa kimapenzi baina ya mke na mume au mtu na rafiki yake wa
karibu. Hakuna chemistry baina yao.
4. Mama inaonekana anamburuza mwenzake.

HITIMISHO LANGU.
Uhusiano wao huenda una shida kubwa mahali fulani na hili ni jaribio la kutafuta kufunika shida isije ikaonekana.

USHAURI WANGU KWA DR. GWAJIMA
-Achana kabisa na mtindo wa maisha yako binafsi kuyaleta mbele ya kamera, gharama yake ni kubwa huko mbele ya safari.

-Ukiamua kuwa mwanasiasa basi jifunze kuishi kama mwanasiasa. Usitamani kuishi kama mtu maarufu wakati bado unajifunza kuwa mwanasiasa.
Tupe wabongo picha tukuandikie habari..... sasa dada Dorothy kaleta video kabisa tunaandika kitabu😂😂😂😂
 
Tatizo mnakariri ukiona huyu anashida basi wote hapana, wanaume niwasumbufu sana tena hawa wasomi ni mbuzi tosha hutumia usomi wao kuwaburuza wake zao sema wanawake huamua kuvumilia tu ,
Wanataka wanawake ambao hawajasoma ili wawaburuze Kama wajinga.
Waliosoma wanajitambua,hawaburuzwi kizembe.
 
Nimemkumbuka ummy walahi....kipindi like Corona imepamba Moto lkn alikuwa very professional
Sasa cha ajabu ummy mtaalamu wa sheria ila alihudumu vizuri wizara ya Afya, huyu mtaalamu wa Afya wizara husika inamleta tafrani lol.
 
Tupe wabongo picha tukuandikie habari..... sasa dada Dorothy kaleta video kabisa tunaandika kitabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Huu uzi nimeusoma wote na comments zake
Hadi sasa mbavu zinaniuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watanzania ni hatari[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ila waja jamani, mume anaonekana ana furaha kabisa huyo ila sasa mlivyokazana kuwa manabii[emoji119][emoji119][emoji119]

Hebu tulieni bwana, kama yenu yanapumulia mashine sio ya wote.
Wapo kupiga ramli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Sasa cha ajabu ummy mtaalamu wa sheria ila alihudumu vizuri wizara ya Afya, huyu mtaalamu wa Afya wizara husika inamleta tafrani lol.
Yaani mama anaheka heka kamtia heka heka Hadi mumewe...utafikiri wale wamama wauswazi wanaoleta matarumbeta na vigoma mtaani kisa mpangaji anayemdai anahama..
Asingesoma sijui angekuwa nani
 
Yaani mama anaheka heka kamtia heka heka Hadi mumewe...utafikiri wale wamama wauswazi wanaoleta matarumbeta na vigoma mtaani kisa mpangaji anayemdai anahama..
Asingesoma sijui angekuwa nani
Yaan wee acha tyuuh, afu kinachonisikitisha zaidi eti huyu mama ni mngoni mwenzangu wa kutoka home Songea, nliona mahali wanasema hilo, sijui ni kweli maana mbona sie hatupo vile km yeye.
 
Yaan wee acha tyuuh, afu kinachonisikitisha zaidi eti huyu mama ni mngoni mwenzangu wa kutoka home Songea, nliona mahali wanasema hilo, sijui ni kweli maana mbona sie hatupo vile km yeye.
Tobaaah!! Kumbe ni mngoni mwenzetu? Mi nikifikiri muha huyu..so gwajima ni jina la mume sio? Anatufedhehesha wangoni buana
 
Eti body language inaonyesha jamaa anaburuzwa,hayo mambo ya ndani waachie wenyewe,kwani jamaa kafungwa minyororo si angesha achia ngazi,lengo lao hapo ni kutoa ujumbe kwa wananchi kuwa kwa sasa tunatakiwa twende kwa mtindo huu...
 
Tobaaah!! Kumbe ni mngoni mwenzetu? Mi nikifikiri muha huyu..so gwajima ni jina la mume sio? Anatufedhehesha wangoni buana
Gwajima ya mumewe yes, yaan nilichoka kabisaa nilipoona hiyo habari, hadi nikahisi km kweli ni mngoni bas hajakulia kwetu songea. Yupo tofauti kabisa na uhalisia wetu.
 
Yaan wee acha tyuuh, afu kinachonisikitisha zaidi eti huyu mama ni mngoni mwenzangu wa kutoka home Songea, nliona mahali wanasema hilo, sijui ni kweli maana mbona sie hatupo vile km yeye.
Hahaha kumbe mjukuu wa ShakaZulu
 
Back
Top Bottom