Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Yaani ulivyoandika ni kama vile hio ni vetting ya Director wa CIA kumbe unaongelea vetting hizi hizi zilizowapa uwaziri wakina Kingwangala wanaoshinda mitandaoni wakiomba mikopo ya pikipiki kwa MO na kutukanana na watu huko Twitter.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Enzi za utawala wa JK ilikua ni ngumu sana kuwaona Mawaziri na famikia zao wakiuza sura. Jamaa walikuwa busy kupiga zao madili! Ni mwendo wa kusaini tu cheque, mikataba na Mabeberu, baaasi!!

Sasa hawa wa sasa, kazi yao ni kujirekodi tu ili kumfurahisha aliyewateua.
Kwa hiyo kipi ni bora sasa,mbona watanzania hamueleweki mnataka nini??

Hivi hizo familia zenu mnaziendeshaje kwa kweli??
 
Halafu nyie jamii ya Mitandaoni huwa mnaanzisha story za hovyo hazina evidence yoyote...

Kwani ukikaa kimya utapoteza nini badala ya kuanika ujinga wako? Hivi majuzi kuna waziri alishindwa kuapa na rais akampiga chini pale pale, kisha akakazia kuwa ana mashaka hata na elimu yake. Kama vetting inafanyika kama unavyosema, iweje rais aseme ana mashaka na elimu ya mteuliwa?
 
Kila level ina vetting yake. Ikiwa leo mimi ni Afisa, nitafanyiwa vetting, ikiwa leo nataka kupewa ukurugenzi, nitafanyiwa vetting kubwa zaidi, ikiwa na kuingizwa kwenye temptation za hela, mapenzi na nk...
Peleka ujinga mbali.
 
nilitegemea mngemchallange yeye wazir na wizara yake,Cha ajabu mnamjadili mzee wa watu na ndoa yake...akipita humu akaona yanayoendelea,atakuwa disappointed Sana.

Hayo aliyojirekodi nayo ndio majukumu ya wizara yake?
 
Kwa hiyo kipi ni bora sasa,mbona watanzania hamueleweki mnataka nini??

Hivi hizo familia zenu mnaziendeshaje kwa kweli??
Tulia mh. Gwajima! Punguza kiki na kupenda kuuza sura muda wote.
 
Back
Top Bottom