Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Kila level ina vetting yake. Ikiwa leo mimi ni Afisa, nitafanyiwa vetting, ikiwa leo nataka kupewa ukurugenzi, nitafanyiwa vetting kubwa zaidi, ikiwa na kuingizwa kwenye temptation za hela, mapenzi na nk.

Wakati mwingine wanaweza taka jua, mke wako ana mental strength kiasi gani , so wanakuja ma HB wanamtokea, na akiwa na akili ndogo akiingia analiwa kama kawa, wanazidi kukujua, hizo ni Level za juu.

Vetting za Waziri huwa ni kubwa zaidi no matter what , sasa issue ya medical ni ndogo sana kujua na afya yake kwa ujumla. Huwezi kusema Waziri hakufanyiwa vetting vizuri, ni kosa na ukosefu wa akili timamu. Eti anatumia dawa, yaani that guy is not serious. Waziri ni muwakilishi wa rais, anaingia baraza la mawaziri huyo mama then unasema hakufanyiwa vetting vyema

Kigwangala nae alifanyiww vetting ya uwaziri?
 
nilitegemea mngemchallange yeye wazir na wizara yake,Cha ajabu mnamjadili mzee wa watu na ndoa yake...akipita humu akaona yanayoendelea,atakuwa disappointed Sana.

Bila shaka alikubali picha yake iwekwe public,acha wana nzengo wamjadili kinaga ubaga.
 
Wamezidi kumnanga mama wa watu na personal issue zake angekuwa anachemka kiutendaji kwa kufanya madudu hapo sawa tungemsema, Ila bado hajaharibu huko why judge her. Better tumkosoe kiutendaji hapo ameonyesha mfano umuhimu wa mazoezi kujifukiza shida iko wapi, wengi wa mnanga tu KWA chuki wamwache mama gwajizo
Na wao watuonyeshe wake zao tuone magaga na kilimanjaro zao pamoja midela yao, wivu tu unawasmbua.
 
Wataalamu wa afya ya akili wanasema yule mama yetu ana dalili zote za kichwa chake kupata moto, kama sio kichaa cha kurithi basi kichaa cha msongo wa mawazo ya kimaisha ndio kinakuwaga vile.

Yote kwa yote kwa sasa nasikia yupo kwenye tiba(sina uhakika), hopeful atatulia fresh.

Mtu yoyote inaweza kumpata hiyo hali, hivyo tusimlaumu yeye. Shida iko kwa yule aliyemteua, vetting haikufanyika fresh, maana wangefukua mafaili ya afya yake ya akili yamkini wangeona kitu na kuepusha taifa kwenye hii kadhia.

Kama huamini hayo, jipe muda utakuja hapa hapa JF kurejea. It is a serious matter. Kile kichwa ni mental case!
Ukizunguka sana kwa Waganga, akili huruka. (Sina uhakika na hili) ila nimeshuhudia sana watu wenye mishe za kiganga kuwa kama wagonjwa wa akili.
 
Mi si mtaalam wa afya ya akili lakin niseme tu huyu mama si suala la umachepele. kwa tukio la bungen na mengine, KUNA KITU HAKIKO SAWA KWENYE CONTROL BOX.
 
Mi si mtaalam wa afya ya akili lakin niseme tu huyu mama si suala la umachepele. kwa tukio la bungen na mengine, KUNA KITU HAKIKO SAWA KWENYE CONTROL BOX.
bado sijaona mapungufu yake ,labda ngoja nianze kumfuatilia kwa ukaribu.naona watu Wana mng'akia kiasi flani.
 
Tatizo mnakariri ukiona huyu anashida basi wote hapana, wanaume niwasumbufu sana tena hawa wasomi ni mbuzi tosha hutumia usomi wao kuwaburuza wake zao sema wanawake huamua kuvumilia tu ,
Wewe mama wa nyumbani au muajiriwa unamishe yako kama mnavyosema wenyewe, unachakarika kuna leo kuna kesho siyo ?
 
Back
Top Bottom