Utakachogundua haraka ni kuwa mama anaijua vyema wizara ya elim na mapungufu yake ya muda mrefu. Bila shaka amepania kuondoa mapungufu hayo aliyokuwa anabaniwa nyuma kiwadhifa. Lakin kitakachokuduwaza ni utakapogundua ni kama hakuwa na ndoto za cheo alichonacho. Mipasho mingi. Ubabe mwingi. Kujiamin kwingi. Mbwembwe nyingi. Dharau nyingi kwa afisa waandamiz wenzake. Ni kama amelewa hali aliyomo mapema. Amejiamin na kujiaminisha mno. Angekuwa mama yang ningemshaur ajiboreshe kwenye lugha ya mawasiliano kwa ngaz yake. Aishi na kutenda kama wazir wa afya. Tena Daktari. Apunguze mbwembwe za kisiasa aweze kuaminika. Dr kubehave kama comedian si jambo zuri.