Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Gwajima ya mumewe yes, yaan nilichoka kabisaa nilipoona hiyo habari, hadi nikahisi km kweli ni mngoni bas hajakulia kwetu songea. Yupo tofauti kabisa na uhalisia wetu.
Mwenzangu huyu hajakulia kwenye makaba yetu....au pengine anatokea vijiji vinavyopakana Sana na Njombe!
 
Na ndo mawazo yangu yalipokua nkawa nawaza itakua kakulia mpakani na njombe huyu.
 
Wakili anaonekana kama ni Ben 10 ,yaani ana wasiwasi sana anaogopa asije kuharibu Mama akamfukuza.
 
Maana sio kwa ubandidu huo....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mumewe nae heeeh sijui walikutana wapi, na walianzaje kutongozana. Khaaaaah
 
Yaan wee acha tyuuh, afu kinachonisikitisha zaidi eti huyu mama ni mngoni mwenzangu wa kutoka home Songea, nliona mahali wanasema hilo, sijui ni kweli maana mbona sie hatupo vile km yeye.

utama kwaku nikupala sana
 
Yaan wee acha tyuuh, afu kinachonisikitisha zaidi eti huyu mama ni mngoni mwenzangu wa kutoka home Songea, nliona mahali wanasema hilo, sijui ni kweli maana mbona sie hatupo vile km yeye.
Hata sio mngoni ana asili ya uchaga flani ila kakulia singida
 
Kupatwa kwa wakili msomi......ninecheka hapo anampa alkasusu akapiga na kagoti kidogo......
Yaani full drama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu tupu yaan
 
Back
Top Bottom