Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Mwenzangu huyu hajakulia kwenye makaba yetu....au pengine anatokea vijiji vinavyopakana Sana na Njombe!Gwajima ya mumewe yes, yaan nilichoka kabisaa nilipoona hiyo habari, hadi nikahisi km kweli ni mngoni bas hajakulia kwetu songea. Yupo tofauti kabisa na uhalisia wetu.