cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Ukute wanalingana umri siunajua wanawake tukizaa tunawahi kuchakaa mapemaJamaa kaoa mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute wanalingana umri siunajua wanawake tukizaa tunawahi kuchakaa mapemaJamaa kaoa mzee
Unajifanya huoni sio?Uvumilivu wa kitu gani?
Wivu unawasumbua Hawa, kusema ndoa ya mwenzao ukute wenyewe wamewekwa mtu Kati na Wake zaoKwani mnataka wanawake wapole kama mke wa nabii Tito? Wanaume acheni uoga kazini na nyumbani kuna utofauti mkubwa, msioe wasomi oeni ngumbalu wapo kibao, mmewe Dr gwajima kaoa chuma mpeni hongera zake na pongezi zake![emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo mna matatizo sana halafu ushahidi tukiwaomba mnalialia.Nimezitama hizo picha na kugundua haya.
1. Lengo sio kufanya mazoezi, lengo hapo ni kupiga picha. It is a staged photo.
2. Muonekano unaonyesha kuwa sio watu wa mazoezi.
3. Body language inaonyesha hawana ule muunganiko wa kimapenzi baina ya mke na mume au mtu na rafiki yake wa
karibu. Hakuna chemistry baina yao.
4. Mama inaonekana anamburuza mwenzake.
HITIMISHO LANGU.
Uhusiano wao huenda una shida kubwa mahali fulani na hili ni jaribio la kutafuta kufunika shida isije ikaonekana.
USHAURI WANGU KWA DR. GWAJIMA
-Achana kabisa na mtindo wa maisha yako binafsi kuyaleta mbele ya kamera, gharama yake ni kubwa huko mbele ya safari.
-Ukiamua kuwa mwanasiasa basi jifunze kuishi kama mwanasiasa. Usitamani kuishi kama mtu maarufu wakati bado unajifunza kuwa mwanasiasa.
Mimi niwe mkweli sijawahi kuona Wanawake wajinga kama hawa wanao jiita wasomi, isipokuwa wachache sana waliorehemewa na Mola muumba.Kwani mnataka wanawake wapole kama mke wa nabii Tito? Wanaume acheni uoga kazini na nyumbani kuna utofauti mkubwa, msioe wasomi oeni ngumbalu wapo kibao, mmewe Dr gwajima kaoa chuma mpeni hongera zake na pongezi zake![emoji23][emoji23][emoji23]
Anaufyata mbele wa Field Marshall wa afya...hakuna namna! 🤣Mwamba anavumilia mengi
Ndege wafananao ndiyo warukao pamojaMwamba anavumilia mengi
Mzee kanasa kwa Fiel Marshalmbona kama mzee anaburuzwa hivi
Tunapishana wakati mm naenda kufufua upinzani ww unakwenda chamani!!!???Nawapongeza kwa kufanya mazoezi. Ni vizuri kuweka mwili fit pia wamefanya vizuri kuhamasisha wengine.
Kwani aliyemteua yeye mwenyewe yukoje??Wataalamu wa afya ya akili wanasema yule mama yetu ana dalili zote za kichwa chake kupata moto, kama sio kichaa cha kurithi basi kichaa cha msongo wa mawazo ya kimaisha ndio kinakuwaga vile.
Yote kwa yote kwa sasa nasikia yupo kwenye tiba(sina uhakika), hopeful atatulia fresh.
Mtu yoyote inaweza kumpata hiyo hali, hivyo tusimlaumu yeye. Shida iko kwa yule aliyemteua, vetting haikufanyika fresh, maana wangefukua mafaili ya afya yake ya akili yamkini wangeona kitu na kuepusha taifa kwenye hii kadhia.
Kama huamini hayo, jipe muda utakuja hapa hapa JF kurejea. It is a serious matter. Kile kichwa ni mental case!
Tatizo mnakariri ukiona huyu anashida basi wote hapana, wanaume niwasumbufu sana tena hawa wasomi ni mbuzi tosha hutumia usomi wao kuwaburuza wake zao sema wanawake huamua kuvumilia tu ,Mimi niwe mkweli sijawahi kuona Wanawake wajinga kama hawa wanao jiita wasomi, isipokuwa wachache sana waliorehemewa na Mola muumba.
Ndiyo maana sisi hatuoi wanao jiita wasomi.
Wataalamu wa afya ya akili wanasema yule mama yetu ana dalili zote za kichwa chake kupata moto, kama sio kichaa cha kurithi basi kichaa cha msongo wa mawazo ya kimaisha ndio kinakuwaga vile.
Yote kwa yote kwa sasa nasikia yupo kwenye tiba(sina uhakika), hopeful atatulia fresh.
Mtu yoyote inaweza kumpata hiyo hali, hivyo tusimlaumu yeye. Shida iko kwa yule aliyemteua, vetting haikufanyika fresh, maana wangefukua mafaili ya afya yake ya akili yamkini wangeona kitu na kuepusha taifa kwenye hii kadhia.
Kama huamini hayo, jipe muda utakuja hapa hapa JF kurejea. It is a serious matter. Kile kichwa ni mental case!
Acha kudanganya watu hapa wewe. Vetting zinafanyika lakini siyo kwa chumvi na mbwembwe ulizotiaa hapa.Halafu nyie jamii ya Mitandaoni huwa mnaanzisha story za hovyo hazina evidence yoyote.
Hivi unajua Vetting ya Waziri inavyofanywa. ? Vetting ya level hizo huwa ni za kufa mtu kwa wewe unaweza hata kuukataa uwaziri.
Wakati mwingine unatongozwa na kutiwa kama sehemu ya vetting. Kama Wewe ni mwanaume basi mke wako anaweza kutokewa na akiingia kwenye laini watu wanakula kama sehemu ya vetting . Wewe, unazungumza vetting ya kujua Kama akili yake ipo sawa au lah haikufanyika vyema , yaani Wewe inabidi tukuweke kwenye mental institution, akili yako haipo sawa.
Mlishawahi kusema vetting ya JPM haikufanyika vyema, hivyo sio mtanzania. Wengi wanaoandika huo upuuzi ni watu ambao hawajawahi hata kupitia utumishi wa Umma.
Wewe tukikufanyia vetting, tutajua hata kama ulishawahi kuingiliwa kinyume na maumbile, tunajua, seuze hilo la Afya ya akili .
You are not serious
Mazoezi ni muhimu
Mazoezi ni Afya
Mhesh Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo Februari 7, 2021 ameshiriki mazoezi pamoja na Mumewe Wakili Gwajima.
View attachment 1696989
Halafu nyie jamii ya Mitandaoni huwa mnaanzisha story za hovyo hazina evidence yoyote.
Hivi unajua Vetting ya Waziri inavyofanywa. ? Vetting ya level hizo huwa ni za kufa mtu kwa wewe unaweza hata kuukataa uwaziri.
Wakati mwingine unatongozwa na kutiwa kama sehemu ya vetting. Kama Wewe ni mwanaume basi mke wako anaweza kutokewa na akiingia kwenye laini watu wanakula kama sehemu ya vetting . Wewe, unazungumza vetting ya kujua Kama akili yake ipo sawa au lah haikufanyika vyema , yaani Wewe inabidi tukuweke kwenye mental institution, akili yako haipo sawa.
Mlishawahi kusema vetting ya JPM haikufanyika vyema, hivyo sio mtanzania. Wengi wanaoandika huo upuuzi ni watu ambao hawajawahi hata kupitia utumishi wa Umma.
Wewe tukikufanyia vetting, tutajua hata kama ulishawahi kuingiliwa kinyume na maumbile, tunajua, seuze hilo la Afya ya akili .
You are not serious
...Mkuu Francis, hebu jaza nyama kidogo hapo pa sentesi ya 'Huyu Baba anavumilia sana'!Huyu baba mvumilivu sana, anyway, tufanye hayo na tutakuwa salama, bila kusahau mazoezi, hakuna Corona atatia mguu nchini Tanzania. Chanjo tunawaachia manyani na mapanya ya majaribio
Yaani ulivyoandika ni kama vile hio ni vetting ya Director wa CIA kumbe unaongelea vetting hizi hizi zilizowapa uwaziri wakina Kingwangala wanaoshinda mitandaoni wakiomba mikopo ya pikipiki kwa MO na kutukanana na watu huko Twitter.