ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kwanini?Huyo mama zimefyatuka siyo mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?Huyo mama zimefyatuka siyo mzima
nikuvekiri togwa , hikayiNa nene nivi bahapa mlongo.
Control box haipeleki signal kwenye sensor za aibu 😁 wala kwenye Vocal Filter sensor😁Mi si mtaalam wa afya ya akili lakin niseme tu huyu mama si suala la umachepele. kwa tukio la bungen na mengine, KUNA KITU HAKIKO SAWA KWENYE CONTROL BOX.
Haya makitu ya hivi yanakuwaga na nyegezi za ajabu kweli. Ni kumsukumia hogo tu japo mkiachana huwa wanajengaga bifu.hiyo reception naifunika na picha Rihanna fresh kabisa.
Wanaolewa sio wanaoa 😂😂😂 we unaona kuna mtu aliyeoa hapoKumbe ana mume! Hakika watu wanaoa aisee.
Wana kimbia ki sayansi hakuna kutoka jasho wala kuhisi kiuWewe hufai ujue😂😂😂😂😂😂
Mbona wangu kasoma na namburuza vizuri tuWanataka wanawake ambao hawajasoma ili wawaburuze Kama wajinga.
Waliosoma wanajitambua,hawaburuzwi kizembe.
Yupi tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]Mbona wangu kasoma na namburuza vizuri tu
Mke ana mvi mzee baba kama yuko 35 tu 😂😂😂Ila muwewe looks younger[emoji28]
Jova nayi kidogo kidogo.....kamwaliNibwelili wenga mlongo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwe mgosi mwene nimmanyi lepa.
Wangoni mpoje kwani bibie, hebu nipe wasifu kidogo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mumewe nae heeeh sijui walikutana wapi, na walianzaje kutongozana. Khaaaaah
Extrovert kwanini unamburuza buana, hebu mpende mwenzioMbona wangu kasoma na namburuza vizuri tu
Poa poa muda huu yupo ana download Snapchat mta mkoma![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipumzishe basi mkuu,nimechoka kucheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki jf hii ina mambo.
Sana tu. Naona anapelekeshwa kiaina. Ila siasa za kick bhana zina raha yake kwa kweli.Mwamba anavumilia mengi
Nasikiaga wana upendo sanaWangoni mpoje kwani bibie, hebu nipe wasifu kidogo?
Nimezitama hizo picha na kugundua haya:
1. Lengo sio kufanya mazoezi, lengo hapo ni kupiga picha. It is a staged photo.
2. Muonekano unaonyesha kuwa sio watu wa mazoezi.
3. Body language inaonyesha hawana ule muunganiko wa kimapenzi baina ya mke na mume au mtu na rafiki yake wa
karibu. Hakuna chemistry baina yao.
4. Mama inaonekana anamburuza mwenzake.
HITIMISHO LANGU.
Uhusiano wao huenda una shida kubwa mahali fulani na hili ni jaribio la kutafuta kufunika shida isije ikaonekana.
USHAURI WANGU KWA DR. GWAJIMA
-Achana kabisa na mtindo wa maisha yako binafsi kuyaleta mbele ya kamera, gharama yake ni kubwa huko mbele ya safari.
-Ukiamua kuwa mwanasiasa basi jifunze kuishi kama mwanasiasa. Usitamani kuishi kama mtu maarufu wakati bado unajifunza kuwa mwanasiasa.
Tatizo lake hukawilii kuuza utu, unadhani before uwaziri credibility ya huyu mama ilikuwaje? Kuna mtu alijua kwamba anaweza akawa mpumbavu mpumbavu namna hii?Sana tu. Naona anapelekeshwa kiaina. Ila siasa za kick bhana zina raha yake kwa kweli.
unasahau kwamba yeye ni kiongoz na anahitahAkamuitia na wapiga picha a kamwambia na style ya kusimama[emoji23]