mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sasa hivi itakuwa inatangazwa waliorecover tu. Ukisikia mgonjwa ni mmoja ama wawili.
Baada ya ile idadi 89 kutangazwa na watu kuanza kumshambulia rais akashtuka na ndiyo lengo LA mkutano wake wa juzi kupiga biti.
Haya yote hayaondoi kasi ya maambukizi na vifo hata serikali ikiendelea kuficha uhalisia. Na hii ni kwa sababu hakuna jipya linalofanywa kuthibiti maambukizi.
Hivyo ni swala la kila RAIA kujipambania..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na yale maneno ya juzi na Mkwara ingemlazimu tu atangaze hivi.
Iwe uongo au kweli, lazima atoe taarifa zinazomridhisha Mfalme.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo habari mbaya kama zipo zisemwe tu, kutowaeleza wananchi hali halisi ni kuwapumbaza na kuwafanya waendelee na maisha yao bila kuzingatia hata hicho kinachoitwa ushauri wa wataalamu.
Okei.Tatizo sio kupenda habari nzuri. Tatizo habari zenyewe ndo haziaminiki kwavile tunajua zinatolewa kwa shinikizo la matakwa ya boss!
Duh..Wanaopoana wanapewa dawa gani??
Maneno mengi uelewa mdogo, nilichoandika hujaelewa sasa unakuja na litmus test za akili zetu, sijui zangu na za nani.Nimesema tuwe na kiwango cha ujinga,kikizidi ni tatizo!Kwahiyo unaamini kabisa wamefukizwa hospitalini ndio maana wamepona?So juzi Rais kaongea,Jana wakafukizwa na leo wamepona na kuachiwa,akili zenu mnazijua wenyewe!
Waziri alitakiwa awe na standard format ya kutolea hizi taarifa. Kitaalamu ni muhimu kueleza wagonjwa wapya ni wangapi hata kama hakuna kwa wakati huo.Kafuata ushauri wa Rais, sasa angetoa taarifa iliyokamilika zaidi; maambukizi mapya kama wapo ataje idadi, vifo kama vipo, then na hao waliopona.
Ila huo ushauri wa bosi wake nao ni kama mtego, wasije sema wamepona wengi ili wamfurahishe jamaa, kumbe ukweli ni kinyume chake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungesema wewe hivyo ungeambiwa unapika data, unapotosha umma nani mchochezi. Wakubwa hawadanganyi yaani si waongo bali hukosea. Wewe na mimi ndio waongo na .......Magufuli alisema wamepona 100 mbona waziri kasema wamepona 37 na sio 100!! Tumuamini nani kati yao?
Wewe umedakia mambo kwa juu juu tu!Ushauri wa kidaktari uliotolewa ni kuwa kufukiza moshi wa joto sio sahihi!Hakuna anayeweza kuhimili hewa ya 100 °C iingie kwenye pua zake ili zikaue virus kwenye mapafu!Tumia akili!Maneno mengi uelewa mdogo, nilichoandika hujaelewa sasa unakuja na litmus test za akili zetu, sijui zangu na za nani.
Kufukiza ni medical treatment ipo, usivurugwe na hilo neno la Kiswahili. Ikiitwa humidifier, nebulizer vipi?!
Mkuu, kiwango cha ujinga kilichoruhusiwa na TBS ni kiasi gani? Natania🥰😀😀Walikuwa wanafukizwa hospitalini?Tuwe na kiwango cha ujinga,kikizidi sana ni tatizo!
Ujinga usizidi 10%!Sasa ikiwa balanced 50% hapo ndio tunaona matatizo kama ya huyo mchangiaji!Mkuu, kiwango cha ujinga kilichoruhusiwa na TBS ni kiasi gani? Natania🥰😀😀
Taarifa za kumfurahisha Mchato zimeanza kutokaWaziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi sasa jumla ya Wagonjwa waliopona ni 48 ambao ni kati ya Wagonjwa 108 waliothibitika kuwa na Ugonjwa huo, ila kwa sasa hawana dalili
Amesma, "Tuna vifo 10, na hivyo tukabakiwa na wagonjwa 274 na kati ya 11 tumeshawatolea taarifa kuwa wamepona. Ni kweli kama alivyosema Rais Magufuli katika watu 263 waliobaki, 108 hawana ugonjwa wowote"
Ameongeza, "Watua hao 108, hawana homa, kifua, kikohozi wala chochote, ila tuliwazuia katika vitua ili kusubiri vipimo vya mwisho na kuthibitisha kama hawana maambukizi kabla ya kuwaruhusu kwenda nyumbani."
Amesema leo wameruhusu watu 37, na kuwa vipimo vyao vimeonesha hawana maambukizi ya #COVID19. Ametoa wito kwa jamii kuwa isiwanyanyapae na kuongeza kuwa wengine 71 vipimo vyao vinasubiri siku 2-3 wataruhusiwa kurudi nyumbani
Kumbe ni kweli rais wetu alikuwa sahihi na wataalam wetu walikuwa ama wrong au walikuwa bado wana hakiki uponaji wa wagonjwa.....Unajibu maombi×3 twakushukuu baba🎼🎼 Ewe Mungu tusaidie iwe ni kweli.Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi sasa jumla ya Wagonjwa waliopona ni 48 ambao ni kati ya Wagonjwa 108 waliothibitika kuwa na Ugonjwa huo, ila kwa sasa hawana dalili
Amesma, "Tuna vifo 10, na hivyo tukabakiwa na wagonjwa 274 na kati ya 11 tumeshawatolea taarifa kuwa wamepona. Ni kweli kama alivyosema Rais Magufuli katika watu 263 waliobaki, 108 hawana ugonjwa wowote"
Ameongeza, "Watua hao 108, hawana homa, kifua, kikohozi wala chochote, ila tuliwazuia katika vitua ili kusubiri vipimo vya mwisho na kuthibitisha kama hawana maambukizi kabla ya kuwaruhusu kwenda nyumbani."
Amesema leo wameruhusu watu 37, na kuwa vipimo vyao vimeonesha hawana maambukizi ya #COVID19. Ametoa wito kwa jamii kuwa isiwanyanyapae na kuongeza kuwa wengine 71 vipimo vyao vinasubiri siku 2-3 wataruhusiwa kurudi nyumbani
Hizi taarifa zimekuwa za kisisa zaidi ili kumfurajisha yule aliyejificja ChatoKwa zile kauli za rais kwamba wamepona zaidi ya 100 tutaamini kweli?
Una uhakika na wewe hukurukia mambo juu juu na vipimo vyako vya akili?! Kwenye eneo hili uelewa wangu naamini si haba. Acha mass judgements.Wewe umedakia mambo kwa juu juu tu!Ushauri wa kidaktari uliotolewa ni kuwa kufukiza moshi wa joto sio sahihi!Hakuna anayeweza kuhimili hewa ya 100 °C iingie kwenye pua zake ili zikaue virus kwenye mapafu!Tumia akili!Ushauri wa kidaktari so far ni kula mlo kamili pamoja na matunda kuuoa mwili uwezo wa kupambana!Sasa ninyi mnakuja na bla blah zisizo na maana hapa!