Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mfumo Upi wa Mahakaman?? Hizi mahakama za Kufunga Mama aloleteaa nyama asijue ni Yann, anafungwa miaka 30 , alafu Mafisadi na mezi yanaachiwa??.HATUTAKI HISANI ya maagizo ya Rais. Tunataka sheria na mifumo ifanye kazi.
Ukikubali unusurike kwa nguvu ya maagizo ya Rais itabidi ukubali siku akitumia nguvu hiyo hiyo kuamuru muondoke auze eneo kwa Mwarabu.
Rais Joseph Biden wa Marekani angeweza kujifungia ndani miezi sita wala wasijue na himaya bado ikasimama kwa sababu nchi ile inaendeshwa kwa sheria na mifumo. Na kamwe haingilii migogoro ya ardhi.
Nchi hiii tunataka watu aina ya Makonda, ambao wanatanguliza Masilahi ya Raia hata km ni Kwa kuvunja Sheria.
Kuna hukumu ngapi zimetolewa na Majaji, hukumu za ovyooo, ambazo zimekaua zinaingizwa kwenye kumbukumbu kama sehem ya Rejea Kwa kesi za mbeleni???.