Waziri wa Ardhi azuia mchakato wa kutaka kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga

Mfumo Upi wa Mahakaman?? Hizi mahakama za Kufunga Mama aloleteaa nyama asijue ni Yann, anafungwa miaka 30 , alafu Mafisadi na mezi yanaachiwa??.


Nchi hiii tunataka watu aina ya Makonda, ambao wanatanguliza Masilahi ya Raia hata km ni Kwa kuvunja Sheria.


Kuna hukumu ngapi zimetolewa na Majaji, hukumu za ovyooo, ambazo zimekaua zinaingizwa kwenye kumbukumbu kama sehem ya Rejea Kwa kesi za mbeleni???.
 

Anhaaa, sawa.

Mahakama zimekufa, kimbilio letu ni Makonda.

Na Makonda akifa ????????
 
Magu si alipuuza amri ya mahakama kuu na kubomoa nyumba za kimara kisiasa TU?
 
Kisheria hii imekaaje? Watu wamevamia, wamepelekwa mahakamani na wameshindwa, waziri anakuja kusitisha how?
shida ni kwamba baadhi ya majaji wenyewe huwa hawatendi haki. Na lazima itakuwa kuna kitu Waziri amenusa hapo.
 
Hapa kinachofanyika siyo Waziri anazuia utekelezaji wa hukumu ya mahakama. Bali kwa kutumia mamlaka yake anaweka muwala (Harmony).

Mahakama imesema mwenye haki ni Fulani na wengine waondoke kwenye ile Ardhi. Lakini imesema waondokaje!?

Waziri anachofanya nadhani ni sahihi kisheria.
 
Huyo jamaa anabebwa na sifa kuliko uhalisia. Mambo anayofanya mengine mazuri mangine ya hovyo. Mambo yake kama hili hayawezi ku stand the test of time
Sio sifa we kiazi wananchi 100 sio mchezo hapo ni hesabu ya kaya 100 humo Kuna watoto ndugu na jamaa,wapangaji n.k Kwa hesabu ya haraka zaidi ya wananchi 300+ watakosa makazi kisa huyo hakimu kalamba mlungula kajikalia kwenye kiti anaamuo hovyo hovyo.Hujui uchungu wa ujenzi umejikalia Kwa Shemeji Yako unacoment ujinga hapa.Serikali kama Baba lazima aingilie kati kutafuta suruhu Kwa namna yoyote Ile hata Kwa kuvunja Sheria.Kaya 100 sawa na Kijiji eti mtu mmoja avunje Kijiji kizima kisa eneo ni lake.Katiba inaitambua Kuwa Ardhi ni mali ya Serikali na wananchi ni wapangaji.Go slaa go.
 
Mtko ww.....
 
Ingekuwa Mimi ndiyo nimeshinda kesi,ningezibomoa halafu nione kifuatacho ITV.

BTW:LHRC huwezi kuwasikia kwenye hili labda angekuw Makonda.
 
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era
 
kibinadamu inahitajika iwe hivyo japo kisheria hana mamalaka. watu mia moja wote wakati wanavamia na kujenga mwekezaji alikuwa wapi? sijui sheria snaa ila tuwe makini sana

Wakuu naombeni kura zenu

 
Katiba inasema ardhi ni mali ya serikali, mwananchi ni mpangaji tu, waziri ndiye mwenye dhamana ya ardhi, hapo unaonaje? Ahakikishe kuwa hapakuwa na hata chembe ya rushwa.
Rushwa haipo. Mtu una hati miliki na unatumia eneo kwa kadri ya hati wao wanvamia kwa matumizi tofauti. Wananchi wa bagamoyo ndio tatizo la baadhi kuvamia maeneo na kuyauza. Hawafanyi kazi halali. Wengi wamewahi kufungwa na faini kwa kosa hili. Waziri anachofanya ni kuendeleza hao watu wavamie maeneo ya watu.
 
Hizo nyumba 100 hazikujengwa siku moja. Anaejiita Mmiliki wa Ardhi alikuwa wapi wakati makazi ya watu yanajengwa kwenye eneo lake!!

Kubomoa nyumba 100 kwa ajili ya mtu mmoja hapana.

Kama Sheria zetu zinasimamiwa ipasavyo mbona Kuna race hazipo kwenye magereza yetu au wao hawafanyi makosa!

Go on Wazuri.
 
Kumbuka kauli ya Rostam.
Kumbuka kauli ya Magufuli, serikali ina mihimili mitatu, lakini mhimili mmoja una nguvu zaidi. Kiufupi wanaiongoza mahakama wanasikiliza kauli za wanasiasa hata kama wanaingiliwa kazi yao.
Ni Jaji gani anaweza kugomea kauli ya Rais kimahakama?
 
Miaka hiyo walikuwepi Kina Jaji Mwalusanya. Lugakingira and the like. Tunataka majaji warudi kama wa enzi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…