greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Kwanza katiba inasema ardhi ni mali ya ummaKatiba inasema ardhi ni mali ya serikali, mwananchi ni mpangaji tu, waziri ndiye mwenye dhamana ya ardhi, hapo unaonaje? Ahakikishe kuwa hapakuwa na hata chembe ya rushwa.
Unaweza ona huruma...Watu tunaweza Ku comment kirahisi sana kwa kuwa hatuko kwenye position ya hao watu 100 ambao familia zao zitakosa makazi. Siamini kama hao watu kila mtu alijijia tu akajenga. Ni lazima waliuziwa. May be na matapeli kama ni kweli kiwanja cha huyo alieshinda kesi.
Kibinadamu tu, unawezaje kumbomolea mwenzio nyumba iliyomgharimu mamilioni tena usikute ya mkopo kisa ardhi mali yako. Nafikiri ni vyema serikali ingekaa na pande zote ili waone kila upande unanufaikaje.
Kiukweli Mimi sina hiyo nyumba ila nafeel maumivu wanayopitia hawa watu. Dunia tunapita. Imenikumbusha kipindi watu wanabomolewa kwa kuvamia eneo la yule mama mchungaji, aisee kuna baba anatoka job anakuta vyombo na familia wako nje, nyumba ishaanguka, alianguka na kupoteza fahamu, kuja kuzinduka ni machozi. Mwanaume kulia si jambo dogo. Leo hii mama mchungaji yuko ndani ya ardhi, ardhi na vilivyoko juu yake kaviacha. Kweli ilikuwa ni mali yake, ila asingepungukiwa kuwaachia wale maskini kisehemu tu katika eneo kubwa alilonalo, mbaya zaidi wao walitapeliwa na walikuwa tayari kumlipa vile viwanja.
Kuna mazingira una kuta hata mwenye kiwanja hajui, kinachoendelea labda yupo mbali, anakuja tapeli anakiuza hicho kiwanja, tena anapata back up ya uongozi wa eneo kuwa ndio mwenye kiwanja halisi na wanaandika hati!! Unajenga maisha yanaendelea, ndipo anaibuka mwenye mali halisi!! Mwenye kiwanja akikiuza kiwanja mala mbili ni rahisi ku deal naye, kuliko unapouziwa na tapeliMimi nazani hao hao wenye viwanja ndio hua wa panga mpango na wenyeviti. Kuwatapeli wananchi. Kwaakili yakawaida nyumba aiyoti kama uyoga
Ni sawa ila kuna mazingira mengine lazima busara lazima itumike!! Wewe una eneo lako, umeliacha watu wamejenga hadi nyumba zimefikia 500,watu wanaishi, ndipo unakuja kuibuka kuwa eneo ni lako, na kweli kisheria ni lako lakini hawa watu wote wakati wanajenga ulikuwa wapi??! Kinachofanyika ni hao watu kukulipa kulingana na kila mmoja na ukubwa wa kiwanja chake, tu.Kwanza katiba inasema ardhi ni mali ya umma
Na katiba inasema : Mahakama ni moja ya mhimili wa umma, haitakiwi iingiliwe kwenye uamuzi wake....
Kama mtu hajaridhika na maamuzi ni akakate rufaa katika mahakama ya Juu...
Kuchunguza rushes mahakamani siyo kazi ya Waziri.
Hukumu inaweza kutolewa na watu wakaongea na kutengeneza settlement deed/deed of settlement. Ikakubaliwa na mahakama na ikawa registered.Wakae waongee kwa mamlaka ipi wakati uamuzi ulishatolewa.....🤣🤣🤣
Kwahyo ili aje na uamuzi mwingine...
kisheria naruhusiwa kufanya hivyo? lakini hapo inaonekana yeye sio mtekelezaji wka sababu sio mvamiziHajatengua hukumu, bali ameahirisha utekelezaji ili wakae waongee waone kama kunaweza kuwa na nusura.
Yeye ni sehemu ya utekelezaji (execution) mahakama haitekelezi, kwa hiyo muwe na subra.
Hii ni message kwa Judiciary kuwa Watanzania hawawaamini. WajirekebisheLakini bado waziri hana mamlaka ya kuingilia uamuzi wa Mahakama....
Sheria ni msumeno.
Hii ni message kwa Judiciary kuwa Watanzania hawawaamini. WajirekebiLakini bado waziri hana mamlaka ya kuingilia uamuzi wa Mahakama....
Sheria ni msumeno.
Waziri = wizara= Rais = Executive ( vrb. Execution).kisheria naruhusiwa kufanya hivyo? lakini hapo inaonekana yeye sio mtekelezaji wka sababu sio mvamizi
Sijaelewa vizuri mkuu ina maana hao uliowataja wapo juu ya sheria?Waziri = wizara= Rais = Executive ( vrb. Execution).
Unaruhusiwa mradi wote muwe watu wazima wenye akili timamu bila shuruti. Hukumu ni kwamba inakupa upperhand ili mtu mbishi akitaka aje kukupigia magoti na wewe ukikubali basi hamna noma.
Hawapo, ila unaweza ukapewa zawadi na mahakama na ukakataa kuichukua, ukasema namsamehe. Au ukasema tumekubaliana anilipe etc ...Sijaelewa vizuri mkuu ina maana hao uliowataja wapo juu ya sheria?
ok sawaHawapo, ila unaweza ukapewa zawadi na mahakama na ukakataa kuichukua, ukasema namsamehe. Au ukasema tumekubaliana anilipe etc ...